Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #121
Mazingira hayo, lazima ujipendekeze kuhonga salioThen, stop blaming😂
Mazingira hayo, lazima ujipendekeze kuhonga salioThen, stop blaming😂
Pole huyu kaniacha mbali kinomaNatamani ungekuwa wewe
Kwenye kipengele kipi?Pole huyu kaniacha mbali kinoma
Mbwa tena jamani!!Leo mpaka mchanganyikiwe mbwa nyinyi, kila lecturer anakuja na tittle yake! Mara mnahudumia koo zetu we naye umekuja ku oppose mada lol 😆
Acha uchinvi kijana🙃Kwenye kipengele kipi?
Hivi kwani hamuwezagi kutuliza mboo zenu????? mbona inawezekana, hivi ukituliza mboo ni nani atakuomba hela????Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
Waacheni wasome watimize ndoto zao jamani.watajipanga na kuokota mali safi kutoka secondary watasettle nnazo kimaisha
Kuna baadhi ya vipengele tutaweza kuvumiliaAcha uchinvi kijana🙃
Haja zako unazimalizaje?Hivi kwani hamuwezagi kutuliza mboo zenu????? mbona inawezekana, hivi ukituliza mboo ni nani atakuomba hela????
Binafsi nimeweza kukaa bila mpenzi na Sina mpenzi na siwezi toa hela kisa Ku....ma za wanawake.
Na maisha yanaenda vzr na Nina songa mbele
Kwa kher 🤝Kuna baadhi ya vipengele tutaweza kuvumilia
Option ya kununua ni nzuri japo ina ukakasi sana mkuu. Napiga story na vijana wengi, nao wanaona ni heri kununua kuliko kujibebesha mizigo. Kibubu kikijaa unatafuta 10k unapata shots zako mbili umemaliza.Tafuta mwanamke mmoja anaekupenda then mpe hela tena za kawaid tu,Mbna simple tu na hautakuja tena na nyuzi za kulalamika kuombwa hela....
Unadhan tz nzima unaombwa wewe peke ako? Au unadhani sisi hatuombwi hizo hela?...
Ukiona mapenz yamekushinda anza kununua malaya tu...
Yani ukifanya hivyo, unapunguza usumbufu , na hata chumvi ikiisha ndani wewe ukiwa kwenye pombe zako huko anajiongeza , kwa sababu anacho kitu cha kumuingizia pesa , kuliko kumpa samaki kila kila siku wewe unamnunulia nyavu akavue samaki , ukiona bado anataka samaki na umempa nyavu , jua huyo chenga
Nilikutana na mwanamke mzuri baraaa, ila ikawa ajabu kila simu yake ni hela, mala anataka 3 million kwa mwezi mala biashara yani havieleweki mie mwenye bado, kuona kupusha kufedheheshwa nikajikalia kimya, akinitafuta najibu poa sitaki story na nyonya damu usawa huu kweli wa kuhonga 3 millions hata kama unayo licha ya kuwa sikuwa nayo 😂😂😂Mindsets za wanawake wengi siku hizi ni jau. Hawataki watu wa kuwalea kimahitaji, wanataka watu wafanye zaidi ya hapo yaani wawaibie. 😁
Nakuja kwako leo mida ya saa sitaKwa kher 🤝
Hamna mama mchungaji, tatizo tunachagua sana. Hutaki kuishi na mwanamke anayeonesha kukupenda unamtaka yule pisi kali anayetafutwa na mtaa mzima.Kwakweli wakomae tu huko! Vikongwe hawatoweza🤣
Mtu anaombwa elfu 10 anaanzisha nyuzi🫢
mshanaNakuja kwako leo mida ya saa sita
Ni kuwa makini, wahenga wanasema fainali ni uzeeni.Nilikutana na mwanamke mzuri baraaa, ila ikawa ajabu kila simu yake ni hela, mala anataka 3 million kwa mwezi mala biashara yani havieleweki mie mwenye bado, kuona kupusha kufedheheshwa nikajikalia kimya, akinitafuta najibu poa sitaki story na nyonya damu usawa huu kweli wa kuhonga 3 millions hata kama unayo licha ya kuwa sikuwa nayo 😂😂😂
NdiwooMbwa tena jamani!!
Nilikutana na mwanamke mzuri baraaa, ila ikawa ajabu kila simu yake ni hela, mala anataka 3 million kwa mwezi mala biashara yani havieleweki mie mwenye bado, kuona kupusha kufedheheshwa nikajikalia kimya, akinitafuta najibu poa sitaki story na nyonya damu usawa huu kweli wa kuhonga 3 millions hata kama unayo licha ya kuwa sikuwa nayo 😂😂😂
Kafanyaje tena?