Wewe unaomba pesa ngapi?
Swali zuri mkuu. Akijibu nitag tahadhali. 😁
Wewe unaomba pesa ngapi?
100k mtaji wa Brenda moja , kameza kadogo na pesa ya kuanzia matunda , una pata kaofisi ka juice kakutengenezea 5000 kwa sikuIshu sio kuomba, ishu unaomba kwa ajili ya kitu gani?
Umeomba vocha, ndio upewe laki?
Shida waga inaanzia hapo, mtu anakuomba mafuta 100k kwa wiki na anatunia Mazda verisa. Unaona kabisa ni muongo. 😁
ACHANA na wanawake, focus kwenye mambo mengine, ACHANA na sex, utatoboa kuiacha kweli.Haja zako unazimalizaje?
Kijana inatosha tafuta hela kwanza sawa?Kunyimana ni dhambi
Mambo ya kawaida, mwanaume asipomuongelea mwanamke amseme nani?Hivi umeona mada za leo mkuu? Tangu jana ni chorus zilezile, huyu kaja kinyumenyume hatumwelewi! Mnatuchanganya mjue🫴🏾😅
Hahaha kwamba unakuta kwa mashoo zake anatamba kuna boya anamchuna?🤣🤣🤣💔
Tazito unakutwa mwanamke unampa hela ila kuja geto kunipa pussy anaanza kuleta konakonaMuwarekebishe hawa wadogo zenu😅 wageni mchezoni! Mapovu kutwa kukicha!
Nitafutie wapi sasaKijana inatosha tafuta hela kwanza sawa?
🤣 mimi tena?Mkikaa saluni huko na u feminists wenu uchwara, sijui uanawake wa nguvu, ndo waga mnajazana ujinga sana.
sema kuishii nao kwa akili, maana huwezi ishi bila kuwa ndinya 😁
Ni sawa na kuongeza matumiziDating a girl in this generation is like adopting an orphan.
Sema huna wewe sio kusemea nafsi za waume wenzio!Mie ndio sina hiyo pesa ya kutoa ndio maana nimejisemea mie banaa weyeeee...
Matendo ya huruma muhimu mtumishi wa bwana😅Amina sana mama mchungaji.
Nyie sura za baba mna upendo wa dhati kwa kuwa jamii imewanyanyapaa mkajifunza huruma.
YeahComing from a non believer 😅😅😅 ni kweli, mwanaume atamwongelea mwanamke maisha yake yote.
Ni kweli, hata mimi kununua hapana, ile ya direct hapana. Ila nawaelewa vijana, kijana anaendesha boda, kila siku anapeleka 12k kwa bosi, mafuta ya boda kila siku, ale na watu wake, then akutane na fish mwenye njaa, hatoboi mkuu.Mimi kununua siwezi, nitatafuta tuu yule ambae hajawa fisi kupindukia, tutaenda nae kimtindo, mahitaji ya msingi nitampa kadiri ya bajeti, ila akianza utapeli napiga chini.
Wanawake wenye fikra nzuri bado wapo wakulungwa, japo ni shida kuwapata.
Kwanini niombe kwanza?Wewe unaomba pesa ngapi?
Sipo huko.Na haupo CHAPUTA mkuu? 😁