Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Kuomba na kupewa ni nature ya mwanamke, anaamini kupewa ni haki yake. So, lazima hata wewe unaomba!

Hawajui hilo mkuu. Mwanamke kaumbwa kupewa. Sio kwamba hata madingi walikuwa hawatoi. Ila wanawake zamani walikuwa halisi.
Anakupa mahitaji halisi sababu anataka ahudumiwe ili akidhi mahitaji yake ya msingi.
Atakuomba mtaji na kweli ataenda fanya biashara na biashara utaiona kweli inafanyika.
Utamkimbiaje huyo mwanamke sasa?
 
Sipo huko.

Manii ndo huwa zinawasumbua mwili. Sio lazma u sex au upige nyeto ndo uzitoe. Mwili huwa unatoa taka automatic, ukifika wakati wa kuzitoa, Mboo inazitema automatic wakati mwili umerelax, umepumzika au/ umelala.

Basi mwenzetu wewe ni abnormal. 😁
Yani unaamka asubuhi unakuwa ushapizi mkuu ndotoni? 😁
 
Msikubali kuendekeza mazoea ya kutia ovyo ovyo, inakuja kuwa tabia, mazoea hujenga tabia. Msipende kutia tia.

Ukishashinda Hilo utakuwa na uwezo wa kuishi bila sex Wala bila mwanamke na huwezi kuonga mwanamke.
 
Hayo tumeshaongea sana, mafuta, magari, majumba, madili makubwa nk, kumuongelea mwanamke ni haikwepeki mkuu
Hata wanawake mmewaongelea sana!l mbona sisi hatuwaongelei hivi?
 
Nampa za nini kama sijamuoa? Kwanza sitaki wanawake ombaomba toka ujanani!!
We muoga eeh? Unamuomba nini na wewe mpaka akuombe? Mtu ambaye hujamua unamuomba mali ni ya kwako?
 
Ni akili tuu mbovu za wanawake siku hizi. Hata mimi nilishajiuliza sana hilo suala. Kuwahudumia kiuhalia hawataki, kujengewa uwezo pia hawataki.
Hawa viumbe ni ajabu sana mkuu.
Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.
 
Ni kweli , ila ukija kwenye kitabu cha mithali kinaongelea mwanamke mzalishaji wa mali , unapewa hiyo pesa na sio unaenda ichimbia kama yule liwali mjinga , unapaswa uwe kama yule liwali mwerefu , ukipewa talanta moja uzalishe ziwe talanta kumi.
Well! Well.. wewe tunaongea lugha moja!
 
Ni kweli, hata mimi kununua hapana, ile ya direct hapana. Ila nawaelewa vijana, kijana anaendesha boda, kila siku anapeleka 12k kwa bosi, mafuta ya boda kila siku, ale na watu wake, then akutane na fish mwenye njaa, hatoboi mkuu.

Walau akanunue, siku akiwa na upwiru aweke 10k mezani akapunguze uzito, hapo Tegeta na Mbezi wanaenda sana kupunguza uzito.
Mwezi uliipita nilikuwa mbezi kikazi nililala lodge wiki tatu. Sasa wikiend ya kwanza tu nikasema niende lubumbash maana sijawahi kufika nimepasikia tu kwa miaka mingi sana. Nikamwambia bodaboda atangulie mimi namfuata nyuma.

Aisee nimefika pale sikuweza kunywa hata bia moja. Huku nje nikaona wauza utamu wa direct wamejipanga. Kwa kweli kupiga wale inahitaji moyo mgumu sana.

Nikamwambia boda nipeleke sehemu nyingine. Akanipeleka QB. Nikaona pale pamekaa vizuri. Nikakutana na wenyeji wakanielekeza kuna bar inaitwa kingachi nayo imetulia. Wiki zote tatu. Maeneo yangu ya kumwagilia moyo ndio yalikua hayo hayo kingachi na QB
 
Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.
Ulitaka hiyo 500k akafanyie nini?
 
Back
Top Bottom