Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Zile kama kamwagiwa ujiSura nzito ipoje
Zile kama kamwagiwa ujiSura nzito ipoje
Ulitaka hiyo 500k akafanyie nini?
wanasema kama hutoi hela na hudum upatKwa sasa kupata demu wa bure ni ngumu sana
Hujaelewa mkuu, kuombwa sipendi hii haimaanishi kuwa sitoi. Mkuu kuna wanawake ni ombaomba hadi kero. Kunipa kipapa once isiwe sababu ya kunifanya ATM!tafut bas mshangaz maana hutaki gharama
Hatari sana, Ile pisi jirani yangu ilionipiga kizinga cha elf 10 masaa machache baada ya kuchukua namba yake, hadi nikaianzishia uzi humu jf, sahivi tukionana njiani hata hatusalimiani, kila mmoja anajifanya hamuoni mwenzake 😀Sura nzito wanatoa sana kuliko hawa beautiful boys😀
Pole mkuu, tafuta size yako ukiona hapakaliki ujue sio mahala pako!
Nikajua ya mtaji, kashanielewesha vizuri,asante 😀Kwamba hujaelewa au hujamuelewa?
Zilezile tu ningeshaianika hapa kitambo! Nijiokotee na mubaba, jeuri sina😃Haya na wewe tuonyeshe sura yako basi, tuione. 😀
Unajitahidi kumuelewesha kijana wa miaka 21 😃Hujaelewa mkuu, kuombwa sipendi hii haimaanishi kuwa sitoi. Mkuu kuna wanawake ni ombaomba hadi kero. Kunipa kipapa once isiwe sababu ya kunifanya ATM!
Safi😀Hatari sana, Ile pisi jirani yangu ilionipiga kizinga cha elf 10 masaa machache baada ya kuchukua namba yake, hadi nikaianzishia uzi humu jf, sahivi tukionana njiani hata hatusalimiani, kila mmoja anajifanya hamuoni mwenzake 😀
Tatizo ulitaka kumtime ujilie usepe! Akipta wa3 kama ww inakuwaje hapo? Ndio nyuzi hizi unazoona hazikauki huku ndani😆hela nkamwambia NO hapo hapo, na sikumtafta tena, yeye mwenyewe nahisi aliwaza sawa huyu mwanaume simtaki, ila mbona ni mkavu balaa hajichoshi hata kubembeleza kidogo .. 😁 Seran Melancholic min -me
Zilezile tu ningeshaianika hapa kitambo! Nijiokotee na mubaba, jeuri sina😃
alaf hao wadada wanapenda vitu vya gharama.Na venye n wavivu wauliz tu kufutilia tamdhilia za kihind. Mm naonelea wanaume tutafute mademu wagumu weusi.Hawa wanapg kaz kinoma,md mfup mnasonga kimaishaHapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
Njoo uniombe pesa mjukuu😅Unajitahidi kumuelewesha kijana wa miaka 21 😃
Nani kakulisha matango pori? Yani nikiiweka hapa ni ban chap🫢Weka picha yako hapa tukuone. Nimeambiwa we ni mrembo hatari.
Nyooh! Ushasema hutoi pesa wewe😅Njoo uniombe pesa mjukuu😅
Kakudanganya! Mwambie akupe ushahidi🫢Kuna mtu kanitonya, kasema huyu manzi ni hatari, ni kisu balaa.
Kakudanganya! Mwamie akupe ushahidi🫢
Aisee nimecheka sana eti Kama ameona UN ila wadau mnamaneno, wanawake wasio na upendo kwako ndio huwa hivyo ni vile tu sisi wanaume tunapenda kukaza fuvuUko na mwanamke, kuja kwako anaomba nauli, vocha, salon, yaani ni kama vile akiona simu yako ameona UN
Huyo si mwanamke wa kuwa nae ni omba omba
Sasa mke unaweza kumfananisha na girlfriend wanaume wengi wapo kwenye mahusiano ambayo ni kama vile yeye ni baba mzazi wa mwanamke wake we imagine wanalipa Kodi za mademu, kusuka, ugonjwa, vocha,nauli,gesti, lunch n.k alafu mwisho wa siku anapata ngono pekee kwa huyo mwanamke tena kwa kupimiwaDawa ni kuoa tu, au hata mkeo hutampa hela?