Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Ukiamua kuwa nae sacrifice yourself...otherwise mwache, tafuta wa low cost😜
Hiyo ni poor mindset mkuu, That are not low cost mzee baba. Katika miaka hii a lady aweze kuji handle kidogo

Maana wao wenyewe mwanamke aise na hela anamuona mwanaume asie na hela kama mzigo, why mwanaume asiwe na standards abebe mtu ambae ni kama yatima?
 
Kumpata huyo ambaye sio mchonyo wa pussy ndio kazi ilipo,,mimi kwenye kutoa hela sinaga shida,ila wanawake kupanua migui duhh ni kazi kwelikweli
Mkuu unataka wanawake tuwe tunapanua tu miguu kama vichaa? Tafuta mwanamke wako mmoja tongoza akikaa kwenye laini atakupanulia mpaka utamchoka mwenyew! Kama unaenda kama unanunua inakuwa ngumu lazima upigwe vzr tu!
 
Mwezi uliipita nilikuwa mbezi kikazi nililala lodge wiki tatu. Sasa wikiend ya kwanza tu nikasema niende lubumbash maana sijawahi kufika nimepasikia tu kwa miaka mingi sana. Nikamwambia bodaboda atangulie mimi namfuata nyuma.

Aisee nimefika pale sikuweza kunywa hata bia moja. Huku nje nikaona wauza utamu wa direct wamejipanga. Kwa kweli kupiga wale inahitaji moyo mgumu sana.

Nikamwambia boda nipeleke sehemu nyingine. Akanipeleka QB. Nikaona pale pamekaa vizuri. Nikakutana na wenyeji wakanielekeza kuna bar inaitwa kingachi nayo imetulia. Wiki zote tatu. Maeneo yangu ya kumwagilia moyo ndio yalikua hayo hayo kingachi na QB
Ni kweli hata mimi nilipitishwa Lubumbashi(sikuwa najua ndio wanapojiuza), inatapisha wallah! Ila kila mtu na standards zake!!
 
Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.

Hii ni fact mkuu. Huu ndio ukweli wenyewe. 😁
 
Ukweli ni kuwa wanaume wengi tunatongoza wadada wanaotuona tuna sura nzito, ndo maana vilio vya kupigwa mizinga haviishi humu jf.. Seran
Sura nzito wanatoa sana kuliko hawa beautiful boys😀

Pole mkuu, tafuta size yako ukiona hapakaliki ujue sio mahala pako!
 
Back
Top Bottom