GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yuko wapi sasa? Mnshabikia ujinga naye anaingia kingi. Alijifanya Mandela kumbe Mandela wa kuchonga kutoka Ikungi. Mandela miaka 27 jela, yeye hata miezi 5 bado ila kila akija kizimbami analialia tu
Mfatie shemeji yako mkate, hizi mada unajidhalilisha bwana mdogo..
 
Mpaka sasa hakuna chama kinaitwa ccm watanzania waelewe
 
CCM imeisha kufa, bado kufutwa
 
Chama tawala CCM kitaendelea kuskiliza sauti na maoni ya wanachama wake na kutimiza matakwa ya wanachama wake kadiri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na kiu yao ya kukichangia chama chao mabilioni ya pesa, bila kujali makasiriko ya wadau wa JF au vibaka na matapeli wa vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na huyu Msanii jina. Usafi, uhalali na usalama wa michango ya wana CCM na wadau wa CCM ni wa kiwango cha kimataifa, usio na shaka yoyote.

CCM ni chama cha waTanzania wote na chochote ambacho CCM inafanya ni kwa maslahi mapana ya wananchi wote. Na kama taifa, tuna kila sababu kujivunia uwepo wa chama hiki makini sana, na kwa wivu mkubwa lazima tukitetete kwa hali na mali dhidi ya vibaraka wa mabeberu ya magharibi ambao baadhi yao wameanza kushikishwa adabu kwa mujibu wa sheria kwasabb za uropokaji na upotoshaji kama anavyojaribu kufanya mtoa hoja.

Ni muhimu kua wazalendo, na kujitenga kabisa na upotoshaji wa kilofa kwa maslahi binafsi kama afanyavyo Msanii aliepoteza uelekeo na amebaki na wivu tu moyoni.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi mzee wa msoga master mind alikuwepo kweli ?
Ndo alietoa ilo wazo kumbuka yeye alivoingia madarakani aliwekwa na Matajiri so all in all Mama atakua Rais wa Matajiri maana ndo wamemuweka madarakani imeisha hiyo
 
Maana nyingine ya kuvhangiwa na watu wale inaashiria kuwa Serikali ijayo itamilikiwa na waliochanga ilinkuiwezesha irudi madarakani...

Serikali itakuwa haina sauti juu ya kundi hilo dogo la watoa 'mpunga'
Huo ndo ukweli
 
Mtu yuko Ukonga ananyea ndoo ndiyo amlaze nani na viatu?? Bavicha sijui mnajitoa vipi akili
Yupo lupango, lakini wanaokosa usingizi ni nyie wa chakavu united
 
Blaah blaah ķama jina lako linavyosawiri

Hebu do the needfull utufafanulie terminology ya kutakatisha fedha. Pls pls
 
Tonetone ilipigwa stop kwenye simu na mikutano ya CDM na ilikuwa inachangiwa na wananchi wa kawaida (walala hoi)
Harambee inachangiwa na matajiri wachache (walala hai) ambao hutasikia TRA wanawadai kodi tena.
 
Maana nyingine ya kuvhangiwa na watu wale inaashiria kuwa Serikali ijayo itamilikiwa na waliochanga ilinkuiwezesha irudi madarakani...

Serikali itakuwa haina sauti juu ya kundi hilo dogo la watoa 'mpunga'
True...kuna ninaojiuliza kama wametoa kweli au...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…