Blaah blaah Ä·ama jina lako linavyosawiriChama tawala CCM kitaendelea kuskiliza sauti na maoni ya wanachama wake na kutimiza matakwa ya wanachama wake kadiri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na kiu yao ya kukichangia chama chao mabilioni ya pesa, bila kujali makasiriko ya wadau wa JF au vibaka na matapeli wa vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na huyu Msanii jina. Usafi, uhalali na usalama wa michango ya wana CCM na wadau wa CCM ni wa kiwango cha kimataifa, usio na shaka yoyote.
CCM ni chama cha waTanzania wote na chochote ambacho CCM inafanya ni kwa maslahi mapana ya wananchi wote. Na kama taifa, tuna kila sababu kujivunia uwepo wa chama hiki makini sana, na kwa wivu mkubwa lazima tukitetete kwa hali na mali dhidi ya vibaraka wa mabeberu ya magharibi ambao baadhi yao wameanza kushikishwa adabu kwa mujibu wa sheria kwasabb za uropokaji na upotoshaji kama anavyojaribu kufanya mtoa hoja.
Ni muhimu kua wazalendo, na kujitenga kabisa na upotoshaji wa kilofa kwa maslahi binafsi kama afanyavyo Msanii aliepoteza uelekeo na amebaki na wivu tu moyoni.š
Mungu Ibariki Tanzania
Nilishasema kwenye moja ya nyuzi zangu kuwa. Hali ilipofikia sasa watawala wamefungwa kauli ktk ndimi zao. Usidhangae watekaji wanavyojianika peupe.Chama kinafuata watu tena?
jikite kwenye hoja yako bila kuweweseka gentleman šBlaah blaah Ä·ama jina lako linavyosawiri
Hebu do the needfull utufafanulie termino
Nilishasema kwenye moja ya nyuzi zangu kuwa. Hali ilipofikia sasa watawala wamefungwa kauli ktk ndimi zao. Usidhangae watekaji wanavyojianika peupe.
Wala hana hofu maana anaamini yupo sahihi kuteka na kuua. Kinga anayo kisheria
Money laundering of highest level which even PCCB can't handle.The money was from CCM and sent back to CCM so that we don't suspect foul deeds.Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme
Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.
MATUKIO FIKIRISHI
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?
- Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
- Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
- Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
My Take:
- CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
- Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
- CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
- Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
- Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii
CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
Itikadi ya Rushwa,wanafahamu vilivyo ila hatuna tunaloweza kuwafanya.CCM kimekuwa kichaka cha Magabacholi badala ya Wakulima na Wafanya Kazi.Ccm ikumbuke tulikotoka mbona heshima ya chama inazidi kuporomoka? Hivi hao wachangiaji ni wanachama wanoijua itikadi ya chama?
Ukombozi gani?Mh Lissu aendelee kushikilia hapo hapo mpaka akili zenu zikae sawa. Ukombozi halisi ni kitu kinachohitaji muda na kujitoa sana maana utakuta na watu wa kila aina, mmojawapo ni watu kama wewe
Na siku hiyo jamaa moja tapeli na maarufu kama takatishaji fedha akaonekana white house na trumpš„“
- Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
- Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
- Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
ESCOWCcm ikumbuke tulikotoka mbona heshima ya chama inazidi kuporomoka? Hivi hao wachangiaji ni wanachama wanoijua itikadi ya chama?
Lumamake wallah pesa mwanaharamu kakaHaya mambo kuna watu wanayaangalia kabisaa na uwezo wa kuchukua hatua wanao ila wamelaza mbupu.....
Hela Kumaninah
Kaka we unataka ualikwe una Mchango kaka au ndo ulitaka utie huruma pale. Kaka tafuta ugali wako acha kutia huruma mitandaoniHatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme
Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.
MATUKIO FIKIRISHI
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?
- Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
- Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
- Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
My Take:
- CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
- Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
- CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
- Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
- Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii
CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
Harambee yenyewe imefanyika Mikoa yote na imeelezwa ni siku ya kwanza na kwamba uchangiaji utaendelea.Hatua ya Kwanza

Ramli tarakilishišHarambee yenyewe imefanyika Mikoa yote na imeelezwa ni siku ya kwanza na kwamba uchangiaji utaendelea.
Lolote linawezekana lakini Je kama kulikuwa na mawasiliano ya ndani ya Chama siku nyingi kaba ya tangazo je.
Umeuliza kumbe una majibu Yako kichwani au?Ramli tarakilishiš
Huna jibu.Umeuliza kumbe una majibu Yako kichwani au?
Nimekwambia kama kulikuwa na internal communique unajuaje?Huna jibu.
Sijauliza uendelevu wake.
Mtiririko wa matukio unahitaji hoja inayojitosheleza. Majibu ya mkato ni dalili stress zimepiga kwenye mfupa.
Tulia, tafakari kisha uje kujadili hoja na si kuleta ufudu
ChoiceVariableMoney laundering of highest level which even PCCB can't handle.The money was from CCM and sent back to CCM so that we don't suspect foul deeds.
Billions of money for unfair Elections!
Poor orchestrated one, we know for facts what is real behind that eventHatua ya Kwanza