GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chakavu imechakaa hata watetezi wake wanafanania na wanachokitetea
 
Wanafanya siasa za kulalamika kwa wananchi wasio na uwezo wakubadilisha ata nukta.Siasa za dunia ya leo hazitaki mtu dhaifu.Hao jamaa ni dhaifu kimipango.Hawana mbinu zozote konki zakuitingisha ccm zaidi yakulialia kwa wananchi.Hawajui kua wananchi ni backup tu pale ambapo tayari kuna mipango sahihi.
 
Mnabambika kesi kwa watu dhaifu?
Mnawateka na kuwaua watu dhaifu?
Mnazuia wasifanye siasa watu dhaifu?
Mnatumia polisi na risasi dhidi ya watu dhaifu?

Ficha udhaifu wako
 
Chakavu imechakaa hata watetezi wake wanafanania na wanachokitetea
Hizi ni siasa mjomba.Siasa ni akili na mbinu haijalishi ni mbinu gani.Sasa kama wewe unafikiri unavyoandika andika hivi mitandaoni au kuwaita majina mabaya wenzako wanashtuka utakua unajidanganya.Ccm ilishatoka uko kitambo.
 
Mnabambika kesi kwa watu dhaifu?
Mnawateka na kuwaua watu dhaifu?
Mnazuia wasifanye siasa watu dhaifu?
Mnatumia polisi na risasi dhidi ya watu dhaifu?

Ficha udhaifu wako
Bado hujaijua siasa wewe.Kaa na hizo akili zako kuna siku utaelewa.Maana naona unaleta hisia tu na mihemko.
 
Hizi ni siasa mjomba.Siasa ni akili na mbinu haijalishi ni mbinu gani.Sasa kama wewe unafikiri unavyoandika andika hivi mitandaoni au kuwaita majina mabaya wenzako wanashtuka utakua unajidanganya.Ccm ilishatoka uko kitambo.
Utekaji ni siasa?
Utesaji ni siasa?
Ulawiti ni siasa?
Uuaji ni siasa?

Ooops nimesahau, kumbe CCM imetoka kwenye siasa za utu, maendeleo, demokrasia na uwajibikaji na sasa mpo kwenye siasa za vitisho, utekaji, upuuziaji wa Katiba, ulawiti na mauaji? Sijataja wizi wa kura ambao ni utamaduni wenu wa asili
 
Bado hujaijua siasa wewe.Kaa na hizo akili zako kuna siku utaelewa.Maana naona unaleta hisia tu na mihemko.
Wakati unasubiri siku moka nielewe, naluambia bado hatua moja msambaratike.

No Reforms
No Election
 
Hizo ni hisia zako.Hayo ni mambo yakihalifu yako kila mahali duniani.Jaribu kueleza mambo bila hisia au mihemko.
 
Observation ya hali ya juu, wewe ni GT.

Vv
 
Hizo ni hisia zako.Hayo ni mambo yakihalifu yako kila mahali duniani.Jaribu kueleza mambo bila hisia au mihemko.
Uje na hoja ndugu.
Nimeshakuelimisha tayari
 
Nadhani maono ya Job yametimia. Nchi imeshauzwa.
 
Wanamtegemea Maria Sarungi na Mange Kimambi waliopo California na Nairobi ndiyo wawaelekeze cha kufanya na mikakati ya kupambana na CCM
 
Haya mambo kuna watu wanayaangalia kabisaa na uwezo wa kuchukua hatua wanao ila wamelaza mbupu.....


Hela Kumaninah
Wa kuchukua hatua. ??!
Kwa kweli hakuna !
Kwanza wafanye hivyo kwa kutumia vifungu vipi vya sheria zilizovunjwa ??!
Na wamshitaki nani. ??!
Bandugu ! 🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…