Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Hapana hawakukujua kama mshindi ni mmoja
Walijua,walikuwa wanajua kabisa hasa baada ya kurudi mara ya pili kwa hiari yao.

Kumbuka sheria mojawapo ilikuwa inasema kama majority watavote ku-end the game basi game itaisha kweli lakini hawatapata chochote, so wakavote na game ikaisha.

Walivyorudi mtaani life likaendelea kuwa tight ndipo wakaamua kurudi wenyewe voluntarily.

 
Ila mle ndani demokrasia ilitamaraki.. nilicheka sana pale kwenye voting, kuna mama aliangalia zile hela akasema hapana nabaki [emoji1][emoji1]
 
Kumbe kila mmoja alikuwa anaamini atakuwa yeye.. sikukua hilo
 
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???

pia hivi yule askari jasiri alikufa ule muda alivyo pigwa risasi baharini????

front man
Hii series ina gaps ambazo zinaifanya ipate nafasi ya season 2.

Ngoja tusubiri.
 
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???

pia hivi yule askari jasiri alikufa ule muda alivyo pigwa risasi baharini????

front man
Nadhani itakua ni wale wale wafanyakazi mle ndani..hasa wale "wakubwa" ambao walikua wanajua njia za siri za ile ngome!
 
Ila mle ndani demokrasia ilitamaraki.. nilicheka sana pale kwenye voting, kuna mama aliangalia zile hela akasema hapana nabaki [emoji1][emoji1]
Maza alikuwa anajua kabisa mtaani hawezi chomoka hivyo bora afe hapo akipambana[emoji23]
 
Umeteleza baharia, ulifaa umzibie mshkaji wako.
 
Kwenye hicho kipengele kuna funzo hapo.
Jamaa alikuwa na roho mbaya
 
Ahahaha, yule mama alitisha sana, aliwadolishia sana[emoji1787]
Every touch part kwenye series. Watanzania sidhani kama tutaweza kufika hiyo level.

Angekuwa mbongo angekuwa anawaxa jinsi bia ilivyotamu
 
kitu nilichogundua hata wale askari ni mateka[emoji23][emoji23]

sijui dingi aliwafanyaje!!!
 
Ile part ya jamaa alivyo rudi akkuta mama yake ka dedi uliniumiza Sana.

Ila aliniboa kudusa zile pesa, nilitamani niingie mle nimlambe makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…