GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
Wao watakuja kuwanunua Yanga kwa bei kubwa refer Mayele na Ki AzizKwanini Simba na Yanga wanagombania wachezaji ambao hutosikia timu kubwa ie kutoka kusini na kaskazini wakimtaka???
Wanalipwa hao achana nao.Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
mpk zipigwe pale ukoloni ndo heshima itakaa sawaHalafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
Tabu tupu.Mo muhindi.
Unatarajia nin kwa boss Muhindi?
Hivi alisemaje?Patrick Aussems alimaliza kila kitu
Kwani Aziz ki, Mzize hukuskua Belozdad, Wydad respectively wakimtaka?Kwanini Simba na Yanga wanagombania wachezaji ambao hutosikia timu kubwa ie kutoka kusini na kaskazini wakimtaka???
mchezaji gani amewindwa na Yanga,Simba ukasikia na Mamelodi au Al-ahly anamtaka?Kwani Aziz ki, Mzize hukuskua Belozdad, Wydad respectively wakimtaka?