Quadratic92
Senior Member
- Jul 11, 2025
- 129
- 146
Ila kuna muda itabid Genta usikilizwe, una hoja, sema ndo hvyo tena viongozi wa simba sidhani kama wapo huku JF
Maendeleo yaleo HUANZA NA HATUANi
mchezaji gani amewindwa na Yanga,Simba ukasikia na Mamelodi au Al-ahly anamtaka?
ukiona ivo ujue msimu ukiisha yanga atapelekwa CASHalafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
Umemsahau Kisugu Mikoyi a.k.a Kalpana 😁😁😄😄Mkuu Genta usipoteze muda na hao wakina GB64, Mzaramo wa Simba, K Mziwanda, Pasi miliani, Shabani mpira pesa. Hao sio mainfluencer ni machawa wa Mangungu. Kwao wanachojua ni kusifia tu Simba hata ikifanya vibaya yaani hata hawajui wanashangilia nini. Simba hana kombe miaka minne sasa na bado anapigwa kama ngoma nje ndani na Yanga kila siku wao kwao sherehe sijui Mangungu anawapa nini masikini ya Mungu hadi huruma hasa ukizingatia wanaitwa mababa wakirudi majumbani mwao jioni. Kwanza hata Aggy Simba kawashinda akili.
Wamebaki na kazi moja tu ya kuwachongea wenzao wanawakosoa viongozi wafungiwe sijui wana akili gani hao jamaa maana wakiaminishwa tu na Mangungu Bala Conte anakuja Simba wao wanaimba tu kama kasuku. Wanashindwa kujua Mangunagu hana hela pale Simba anategemea Mo atoe wakati yeye anamiliki wananchama ambao wangeweza kuchangia pesa nyingi kuliko hata hizo MO anazitoa.
Na kwa usajili unavyoenda kama Simba hawatashtuka na kufanya kazi ya ziada basi watakutana na jambo baya kwenye ngao ya hisani.
KisuguuuuKisugu nimemzalisha mama yako?? Komaaaa
Unawashwa...Kisuguuuu
KisuguUnawashwa...
Naona mna muhusudu mume wa mama zenu...
Mnafosi kubadili jinsia yangu ili niwale?? Mtaliwa kweli..Kisugu
KisuguuuuuuMnafosi kubadili jinsia yangu ili niwale?? Mtaliwa kweli..
Naona kisugu amewakaa kwny akili mnamuota...mwanaume una force umaarufu JF??
Basi kama mimi kisugu nimemzalisha mama yako...
Baba yako lazima mama alikutambulishaKisuguuuuuu
KisuguBaba yako lazima mama alikutambulisha
Shoga mkubwa wewe...
Ww si ndo yule mwanadada alietambulishwa bungeni roboti eunice...
Haya njoo nikuoe na ww uridhike
KisuguEUNICE Roboti Wa Nape
Kumbe nabishana na shoga uenice...
Njoo nikuoea bibie naona unahamu ya kuzaa
View attachment 3411074
Sawa mrembo Eunice japo hauna msambwandaKisugu
Sawa mrembo Eunice aka robot la nape..Kisugu