Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

Dewji ni tapeli tu, tena wa uswahilini. Hata utajiri wake ni wa kitapeli tapeli tu. Kuna wakati Magufuli alimnyang'anya ardhi aliyokuwa amehodhi kwa ajili ya kupatia mikopo ya benki bila kuiendeleza.
 
Umemsahau Kisugu Mikoyi a.k.a Kalpana 😁😁😄😄
 
Hivi Sheria za Tanzania zinaruhusu wachezaji wangapi kutoka. Nje kwa timu Moja?
 
Yanga kuna GSM kuna Rostan na kuna Bosi:
Hivyo ishu ya Usajali hawasitisiti hata kidogo wanamtuma Hersi anamaliza mchezo fasta fasta sana:
Simba mchezaji aonwe na mtafuta wachezaji, aripoti kwa mkurugenzi wa Simba, naye aripoti kwa Mangungu, naye aripoti kwa Try Again, naye aripoti kwa Mwekezaji ili atafakari na kuitisha kamati ya usajiri ili ijadili kuja kushtuka mchezaji kesha chukuliwa:

Hili lilitokea kwa Azizi Ki, Aucho, Pakome na Zengeli na kwasasa limetokea kwa Konte:
Simba tuendelee kuvumilia maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…