Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

Kwanini Simba na Yanga wanagombania wachezaji ambao hutosikia timu kubwa ie kutoka kusini na kaskazini wakimtaka???
Kwani mayele anatokea timu gani? Ulishawahi kusikia hata huko ulaya timu ndogo zinagombea wachezaji na timu kubwa?
 
Alieanzisha jina alikimbia baada ya kuona kaingia cha kike..naona machawa wanadandia tren kwa mbele ni kupekua tuu makalio yao sasa...ili niwape utamu wa kisugu baby wao wanaomuimba humu daily.
Wapelekee moto maana wanautaka
 
Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
Mimi naona uchukue mikoba ya usajili wewe. Maana si kwa povu hili
. Binafsi sitakusamehe kwa kumfukuzisha kazi CEO wetu mahiri kabisa bidada Barbara. Sasa umeanza project ya kumkimbiza mo wakati huna uwezo wa kununua hata mchezaji mmoja wa ndondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…