stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Wakuu
Leteni hoja
Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
Leteni hoja
Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
Hata ingekuwa shilingi elfu 10,bado sijashawishika.Ndoo ya maini 3 000 🤣 maisha bora kwa kila mtanzania
Kilo moja ni wastani wa Tsh.12,000.Kalukuleti.Kwani yanatakiwa yauzwe Bei Gani?
Ttz mmezoea kuuziwa vitu bei juuHata ingekuwa shilingi elfu 10,bado sijashawishika.
Tangu nikufahamu Leo ndio naona comment yakoNdoo ya maini 3 000 🤣 maisha bora kwa kila mtanzania
Hawa wa mtaani anakuuzia kipande tu ndio hiyo 2000?Kilo moja ni wastani wa Tsh.12,000.Kalukuleti.
Kwa hiyo siku hizi bei ya ng'ombe ni Tsh.22,000?Au ni ndoo ya maini ya panya/mijusi/mende?Ttz mmezoea kuuziwa vitu bei juu
Watu wanautani na maisha ya watu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuweni makini/acheni kununua kabisa.
Watu wanautani na maisha ya watu.
Sa itakuwaje mbona mimi nimekula sanaKuweni makini/acheni kununua kabisa.
Kwa mara ya kwanza nakupeleka Kawe.Umenishinda.Tangu lini uliona sambusa zinatengenezwa kwa maini?Ungeniuliza!Sa itakuwaje mbona mimi nimekula sana