Maini yanauzwa 2000 au 3000 kwa ndoo mitaani, je ni salama?

Maini yanauzwa 2000 au 3000 kwa ndoo mitaani, je ni salama?

Ndoo ya maini 3 000 🤣 maisha bora kwa kila mtanzania


Screenshot_20260722-185846~2.jpg

watu wale main ya virutubisho sana😊
 
Mnaweza kushangaa ila kuna aina ya maisha watu wanaishi, yaani hiyo ndoo mnayoshangaa wao hawaachi kununua hata iweje.

Kwanza hapo wanafurahia kwani wanakuwa wamebana matumizi ili hela ya kucheza vikoba ipatikane muda wa kuwaza kuna hili au lile wao si kazi yao watayajua mbele kwa mbele.
 
Hawa wa mtaani anakuuzia kipande tu ndio hiyo 2000?
Hakuna sehemu maini yanauzwa Kwa ujazo wa ndoo nzima shilingi 2,000 za kitanzania.
Bali maini yanauzwa Kwa mtu kutembeza mtaani yakiwa kwenye ndoo na unauziwa kipande kuanzia 2,000.

Huyu anayesema ndoo nzima ya maini inauzwa Kwa 2,000 tutamfuatilia
 
Mnaweza kushangaa ila kuna aina ya maisha watu wanaishi, yaani hiyo ndoo mnayoshangaa wao hawaachi kununua hata iweje.

Kwanza hapo wanafurahia kwani wanakuwa wamebana matumizi ili hela ya kucheza vikoba ipatikane muda wa kuwaza kuna hili au lile wao si kazi yao watayajua mbele kwa mbele.
Jamaa analeta tahaluki tu mtandaoni.
Maini yanauzwa kwenye ndoo Kwa kipande kimoja 2,000, siyo ndoo nzima shilingi elfu mbili
 
Back
Top Bottom