King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Nyama kilo ni elfu 12 sasa maini ndiyo yawe elfu 12? Maini kilo ni elfu 20.Kilo moja ni wastani wa Tsh.12,000.Kalukuleti.
Nyama kilo ni elfu 12 sasa maini ndiyo yawe elfu 12? Maini kilo ni elfu 20.Kilo moja ni wastani wa Tsh.12,000.Kalukuleti.
Nyama kilo ni elfu 12 sasa maini ndiyo yawe elfu 12? Maini kilo ni elfu 20.
Imekaa uzuri.Bei halali ni 14,000 kwa kilo.
Ukawekewe mikono utosini ili utetemeke na kuanguka.😁😁 Kawe kufanyaje tena
Hata Mimi najua maini kipande ndio 2000 na sio ndio nzimaHakuna sehemu maini yanauzwa Kwa ujazo wa ndoo nzima shilingi 2,000 za kitanzania.
Bali maini yanauzwa Kwa mtu kutembeza mtaani yakiwa kwenye ndoo na unauziwa kipande kuanzia 2,000.
Huyu anayesema ndoo nzima ya maini inauzwa Kwa 2,000 tutamfuatilia
Sio rahisi kusema sio salama au ni salama lakini umakini wako utakusaidiaWakuu
Leteni hoja
Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
😁😁 Kwa heriUkawekewe mikono utosini ili utetemeke na kuanguka.
Usile maini ya 2000, yanaweza kuwa ya vibudu.Imekaa uzuri.
Kumbe mleta mada ni muongo.🤣🤣🤣🤣Hata Mimi najua maini kipande ndio 2000 na sio ndio nzima
Kam shida ni vibudu wengne huwa hatuangalii sababu hiyo make tunakula hat mnyama ambae amekufa na hatujui kauwawa na nnUsile maini ya 2000, yanaweza kuwa ya vibudu.