Uchaguzi 2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

Kwa kilichotokea nadhani sheria ya kufuta vyama vya siasa "Multiparty system" is coming through this single Bunge....
 
MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI

WTF
 
Mimi ninafikiri Africa tuna laana. Sina jibu lingine. Maana yaliyofanyika Tanzania yanafanyika Zimbabwe , Uganda, Burundi, na kwingineko.
Usisahau na MAREKANI nako Wanasema JOE BIDEN kaiba kura ... na kuna irregularities na KURA FAKE. no country can practise 100% democracy is a Lie in this World.
 
Tunaishi KATIKA UHALISIA TULIIODANGANYWA NA TUKAKUBALI KUDANGANYWA ... VITU VINGI SIO HALISI TUNADANGANYWA... UHURU africa ni uongo, democrasia ni uongo , ujamaa ni uongo ... WE ARE ALL BROKEN TRYING TO SHOW OTHERS BROKENESS. while you are too broke
 
Mkuu, I salute you
 
Mkuu, I salute you
 
Majeshi ya Africa na wanausalama hawajawahi kuwa wazarendo wa nchi, mara zote huwa wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya mtu mmoja,ndio mana wanatumia nguvu zote kudhibiti raia
 
Nawapa pongezi watanzania kwa kuyapokea Matokeo, na pia nawaomba wakubaliane na Matokeo ya waliojiamulia leo yawe mabaya au mazuri, kupanga ni Kuchagua
Kama Kuna waliopokea na kukubali hayo matokeo, itakuwa ni baadhi tu ya makada wa ccm, ambao ni wachache mno
 
Dogo, mbona unaleta masihara kwenye mambo serious?
 
Unapitwa kwenye kata zote utashindaje ubunge?
Iko wazi refa aliruhusu magoli ya off side kwa ngazi zote.
Haina tabu, ongozeni tu. Kama ni hasara, ni hasara ya majority of citizens wala si vyama vya upinzani tu.
Subiri kama utaskia kauli ya natoa shilingi,ni wakati wa yes for everything.
 
Subiri, tutapitisha kipima joto 2025 baada ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi ndo tutajua hali halisi ikoje.
Ungejiuliza angalau kidogo tu kuwa ni kwa nini karibu kila mwanaccm alitamani kugombea ubunge safari hii nadhani majibu yake yangekupa jumuisho tofauti na ulilofikia kwenye uchambuzi wako.
Ngoja tujipe muda
 
Mnajitia upofu msioukuwa nao? mmepewa macho ya kuona ila mnajitia upofu, mmepewa masikio ya kusikia ila mnajifanya viziwi! mmepewa mdomo wa kusemea maovu ila mnajifanya mabubu! mmepewa akili ya kuchanganyua mambo lakini mnajitia wazimu.

Mungu kawabariki viungo vyote hivyo kwa makusudi mazima lakini inaonyesha hamna kazi navyo. Kuna siku aliewapa viungo vyake hivo atanyang'anya kwa kuwa hamvitumii inavyotakiwa!
 
CCM miaka yote walichukulia mikoa ya kusini ni backyard yao Kama wasingeiba Kura kwa malaki hata wabunge watatu wasingepata.JAMBO moja muhimu wanajua kuwa kama si wizi wasingekuepo hapo.hawawezi tamba Tena etti miaka mia watatawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…