Ni kweli haya mambo yana siri kubwa sanaBrother watakupa siri zote ila za kutoa makafara ata km nirafiki yako akwambii anajikata kimya kimya tu unaona mambo yake yanasonga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ma Directors?Wabunge na mawaziri ni washirikina wakubwa...Wengi wanao jihusisha na ushirikina ni masikini, Mwenyezi Mungu humpa amtakae bila hesabu(Haangalii km wewe ni mwema au muovu)
Kafara ya binadamu ndio ya kweli we uwa MTU kishirikina utaniambia unavyotusua maisha kila get I unafungua.
Umewahi kutoa binadamu kafara? Nenda Njombe, Mbeya hadi Tunduma upate ukweli.Kafara ya binadamu ndio ya kweli we uwa MTU kishirikina utaniambia unavyotusua maisha kila get I unafungua.
Hebu lete ukweli wako wewe mkweli..Duuuh...acha unafiki na uongo..
Ugumu wa maisha unakufanya UTUKANE hata watu usiowajua. Wewe mtoto wa endelea kusubiri ugali wa shikamoo. Sisi tunahangaika mikoa yote tunajua dunia inakwendaje.Tupe udhibitisho wa hao watu, unajua mkiitwa wapumbavu mtakasirika , unadhubutu kabissa kutaja mikoa na kuisingizia hio mikoa na wanaokufa kua ni kafara, leta udhibitisho hapa na sio porojo za manabii wenu na wachungaji
Tembea uone mdogo wangu. Utaishia kushusha matusi na kujiona mjanja kumbe unajidhalilisha tu.Tupe udhibitisho wa hao watu, unajua mkiitwa wapumbavu mtakasirika , unadhubutu kabissa kutaja mikoa na kuisingizia hio mikoa na wanaokufa kua ni kafara, leta udhibitisho hapa na sio porojo za manabii wenu na wachungaji
Kweli mkuu!We acha tu Bila Allahu na kwa wenzetu yesu Utoboi kabisaaaaaaa
Sasa hilo nalo unabisha wew vp!! Au tumegusa nyanja zako????Tupe udhibitisho wa hao watu, unajua mkiitwa wapumbavu mtakasirika , unadhubutu kabissa kutaja mikoa na kuisingizia hio mikoa na wanaokufa kua ni kafara, leta udhibitisho hapa na sio porojo za manabii wenu na wachungaji