Sasa hao wa allahu ni wataam sana kuliko wenzao wao kwenye izi issu ni ntu za dill.We acha tu Bila Allahu na kwa wenzetu yesu Utoboi kabisaaaaaaa
Zanzibar shee wanafuga km wanavyofuga nguruwe njombe na songea.Inaonekana pesa ni mali ya shetani, hivyo kuzipata nyingi ni lazima uombe kibali kwa shetani (ndiyo tunaita ushirikina).
Ukiona mtu anachinja sana, labda kila baada ya mwezi, huyo ana utajiri wa majini. Majini chakula chake ni damu. Asipofanya hivyo, jini linaweza kumpitia hata yeye au mwanafamilia.
Utajiri wa majini una nguvu sana, yaani jini ndo linakuwa linaendesha biashara yako!
Sidhani kama unaweza kufanya kitu cha maana kwa conclusion hii mkuu. Kila unachokifanya, fanya kwa juhudi kubwa na maarifa, kisha mwombe Mungu wa mbinguni, utafanikiwa.Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani.
Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua ya utengenezaji wanachinja mbuzi au kondooo.
2. Tukiachana na Wachina nikaja Dar kuna waturuki walikua maeneo ya Mwenge pale wanafanya decoration na finishing kwenye majumba niliwahi fanya kazi pale nao ilikua ikifika mwisho wa mwezi wanachinja mbuzi mlangoni pa kuingilia ofisini kisha wanapika nyama watu wanakula.
3. Mbali na hao Waturuki kuna kampuni moja kubwa sana ya mafuta mi nilijua maboss awana muda na izi mambo wana petrol station kibao za blue wao kila mwisho wa mwezi wanaboost na Ng'ombe kisha nyama wanapika wanapewa wafanyakazi.
Mwisho nikagundua kama wewe sio mshirikina sali sana unless or otherwise mafanikio utaishia kuyasikia tu kwa wenzako .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
anaNdio ivyo mkuu af watu wengi wamejificha wanafanya kwa siri wanatoboa.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] Jamaa utakuwa umeshuhudis mengi sana kino na migo[emoji1787]Ni kwelj kabisa,kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anakaa jirani na shk mmj mkubwa tu
Pale kuna watu maarufu,viongz walikuwa wanakuja,wanafanya yao chinja sana mehhmehh
Watu wengine tukiwaona tuna waenjoy tu
Ila ndiyo dunia hiyoo
Ova
bro endelea kujifunza.Kupata mafanikio siyo lazima uwe mshirikana...
Kuliko uwatoe uhai hao ndugu zako, wewe jitenge sehemu mbali tafuta kwaajili yako tu kila unachopata kiwe chako peke yako bila kutoa msaada wowote kwa mtu sasa ukishafanikiwa hutakuwa na hatia ya kutoa uhai wa mtu, hao wachina unasikia unaosikia wamechinja mbuzi hujasikia wametoa uhai wa mtu, Mimi nipo nafanya nao kazi na niliwahi kuwauliza wakasema hua wanafanya tamaduni zao tu kwamba ukiingia nyumba mpya au sehemu mpya anza vizuri kwa kusherekea na nyama na siyo maharage na dagaa na ndo huwa wanafanya kama ishara ya kusherekea na tamaduni zao bila kuzuru mtu.Wapi wanatoa kafara ili kupata utajiri.?
Maana tunakufa bila faida yoyote. Ni bora afe mmoja wengi tupone
Teh teh kweli mzee nmeona vituko vingi[emoji1][emoji1][emoji1] Jamaa utakuwa umeshuhudis mengi sana kino na migo[emoji1787]
Hii ni kweli mkuu, nimewahi kufanya kikao na tajiri mmoja hapa nchini anamiliki mabus kibao ya kwenda mikoani na nje ya nchi pia ana biashara kedekede. Baada ya kumaliza agenda za msingi nilianza kumchimba juu ya utajiri wake, alinijibu kama ifuatavyo "mdogo wangu dunia nzima hakuna mtu atakueleza ukweli jinsi alivyopata utajiri ila atakueleza blaa blaa kibao ambazo hata wewe utahisi unaweza kufanya na kuwa tajiri, ila kama upo serious kipindi anaeleza hizo blaa blaa zake kuna mahali utagundua kuna tatizo/kuna kitu hajasema so hicho kisichosemwa ndio majibu sahihi". Kusema kweli niliamini maneno yake yule jamaa.Brother watakupa siri zote ila za kutoa makafara ata km nirafiki yako akwambii anajikata kimya kimya tu unaona mambo yake yanasonga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Njia ya buza kwa mparange!!!![emoji23][emoji23][emoji23]Naomba kujua ni njia gani hio ilitamkwa kuonekana machoni ambayo ina lead kwenye umauti..
masikin ni wale walokole wanaokemea badara ya kufanya kazi, washirikna sio masikin labda wawe wale wanaoeanga usiku awo ndy masikinWengi wanao jihusisha na ushirikina ni masikini, Mwenyezi Mungu humpa amtakae bila hesabu(Haangalii km wewe ni mwema au muovu)
Na ukianza na mbuzi huko mbele lazima afuate binadamuKias chake nipo njia panda nafikiria nikae upande gan? Wa kuokoka au kua mzee wa shiriki.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Muongo! ...Zanzibar shee wanafuga km wanavyofuga nguruwe njombe na songea.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app