Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

Ukifail maisha inamanisha hata ubongo wako ulifika point ukafail kuthink
 
Naunga mkono hoja,..m mwenyew naon Bora nianze kutoa kafara..labda mafanikio ntayaona..huu Ni mwaka wa Saba..naimba na pia nachora ila sion matunda ya vipaji vyangu..aisee
 
Kuna jamaa naish nae geto hapa naona maisha yanatupiga kweli na ukizingatia tumepoteza Kaz pomoja bas naoana kila siku anataja kuwa Yuko taayari kumnyoosha mtu aliyemfukusisha Kaz ...nawaza nimtimue hapa
Itakuwa wewe ndo ulimfukuzisha.

Why unaogopa maneno yake?

Sio poa Mkuu. Uliooona kwako pameharibika ukam snitch na yeye 🤣🤣🤣🤭🤭
 
Muongo! ...

Hamridhiki mpaka muwapake ubaya?!

Umuue mamayako au mwanao kisa mali ...

Roho dhaifu .... Fisadi wa nafsi...

Tanga..bagamoyo..hayapo?!

Mizimu huku bara ndio kwao..na mizimu ni majini vilevile..

Tofauti majina tu..
Kubali tu mbona sie huku tunafuga nguruwe kwan? Nyie nao iyo si ni mifugo yenu!!!!!

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
NONESENSE
 
Tupe udhibitisho wa hao watu, unajua mkiitwa wapumbavu mtakasirika , unadhubutu kabissa kutaja mikoa na kuisingizia hio mikoa na wanaokufa kua ni kafara, leta udhibitisho hapa na sio porojo za manabii wenu na wachungaji
nenda mbeya kuna kituo kinaitwa mwanahapa, halafu ulizia story za huyo mwanahapa mwenyewe
 
Aisee
Mdogo mdogo tunapiga hatua upande upande sasa
 
Acha ujinga,Bill gate,Dangote wanatoa kafara gani?
Diamond,Alikiba,Vunja bei,wanatoa kafara gani?Donald Trump ametoa kafara gani?
Chapa kazi wewe,acha janja janja
 
Wewe mpuuzi ndo unataka kuja Qatar na akili zako za kishamba hivi..!! Umenifata PM nimekugomea umeishia kunitukana ..siwezi kusaidia vichwa vibovu Kama vya kwako. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…