Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote nikiwa na jambo Natoa sadaka natia nia .
Kwenye gari nampisha mzee na mjamzito na mwenye uhitaji hizo ndo sadaka zangu.
Tangia darasa la saba mpaka form one na chuo ni dua tu na zimesaidia sana kwakweli
 
Chai
 
Nina namba za fundi ila hajasoma lakini anajua kuweka vitu vyako vizuri. Anapiga plasta, anasuka lenta, bati anaweka fresh kabisa yani hana kipengele kabisa na vifaa vya kazi anakuja navyo yeye mwenyewe na hata sementi haibi.Njoo DM nikupe namba yake.
 
20230824_115027.jpg
 
Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote nikiwa na jambo Natoa sadaka natia nia .
Kwenye gari nampisha mzee na mjamzito na mwenye uhitaji hizo ndo sadaka zangu.
Tangia darasa la saba mpaka form one na chuo ni dua tu na zimesaidia sana kwakweli
😂😂😂😂 Nacheka kama mazuri omba sana usiingie kwenye njia za walimwengu tu ni hilo tu.
 
Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
Kwakwwli hii code sijui kwanini hawaijui..Hii dunia hili kupata mafanikio kwenye mahusiano,kazi,kipato ni lazima uroge nimechelewa kujua sana hili lkn miaka ya karibuni nimekuwa muumini sana wa ulozi na najivunia kwa hilo..
Nina mganga special kwa ajili ya mahusiano (kupendwa na jinsia nyingine ile,

Nina mganga special kwa ajili ya biashara na mambo ya kazi

Nina mganga special kwa ajili ya kushughulikia watesi wangu/wasaliti
 
Back
Top Bottom