Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka kama mazuri omba sana usiingie kwenye njia za walimwengu tu ni hilo tu.
Sio kwamba siyajui mambo hayo ila tu mimi sijawahi kwenda ila kwa maisha ya watanzania hakuna ambaye hajapitia au kuona mambo hayo katika jamii ni vitu vya kawaida.
 
Back
Top Bottom