Maisha Bila Mazoezi: Mnakabiliana Vipi na Stress?

Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na
1.Msongo wa mawazo na sonona
2.Tatizo la nguvu za kiume
3.Kusosholaizi na watu
4.Ukakamavu
5.Credibility
Mnaishije???????
Msongo wa mawazo ni wakati unatafakari hupati majibu.
- kama una tafakari unapata majibu , je kuna haja ya kufanya mazoezi.

Nguvu za kiume - usipo fanya mazoezi haimaanishi ndiyo hutakuwa huna nguvu za kiume
Swala ni kula vizuri na kuepuka masterbation tu.

Ninacho jua kuwa kazi ya mazoezi ni kujenga mwili.

Ata kama una msongo wa mazoezi ukaenda kufanya mazoezi ukimaliza mazoezi msongo wako wa mawazo unakua vilevile
 
Knowledge is a teacher
 
Back
Top Bottom