Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Uwe na usiku mwemaNjoo utie baraka pm kwangu. Buibui washaanza kujenga huko
Uwe na usiku mwemaNjoo utie baraka pm kwangu. Buibui washaanza kujenga huko
Again, unajishtukiaMkuu kila tulichochat chukulia utani. Tafadhali..
Hapo unatamani na mimi nifute replies zangu halafu sifuti sasa😆 😀Sasa kama hujapendezwa na maneno yangu nisikuombe radhi mkuu
HahaHapo unatamani na mimi nifute replies zangu halafu sifuti sasa😆 😀
Mambo hadharani, mambo kwa ushahidiiiiUsipofuta nitakulaani hadi siku ya mwisho. Acha hivo mkuu
Pole sana ulikunywa nini🤣Mmhh hizi ni genye zanisumbua bila shaka. Nilale tu
Jamani umemkatisha ntapigaje kizinga sasa🙆🏽♀️Mbona unaaga fasta!? nilikua nafatilia mtongozo live😂
Jamani lakini si nawasaidia vijana🤣Nimekuvulia kofia we binti🤣
Ntakuwa nadeal na mtoto mdogo eeh🙄Hukumuelewa, alimaanisha kutongozwa, mwanamke anatongozwa kila siku ila haimaanishi anawakubalia
Ila Mari🤣 unamjaza kijana muache bwana!Rudi kamuombe msamaha, muendelee mlipoishia
Hana hela huyooooJamani umemkatisha ntapigaje kizinga sasa🙆🏽♀️
Kijana ambae bado anajitafuta🙃🤣Ntakuwa nadeal na mtoto mdogo eeh🙄
Kalegea legea na yeye huyu inabidi siku moja atekwe afungiwe ndani kwa siku 3, uoga umuishe😁Ila Mari🤣 unamjaza kijana muache bwana!
Mkuu wengine kazi zetu zenyewe ni mazoezi tosha!!Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na
1.Msongo wa mawazo na sonona
2.Tatizo la nguvu za kiume
3.Kusosholaizi na watu
4.Ukakamavu
5.Credibility
Mnaishije???????
Sasa anafanyaje na watoto wazuri😁Hana hela huyoooo
Eenh hatutawezana!Kijana ambae bado anajitafuta🙃🤣
Si atakamuliwa mafuta yote? Atakonda mno😁Kalegea legea na yeye huyu inabidi siku moja atekwe afungiwe ndani kwa siku 3, uoga umuishe😁
Alikua anapima upepo, si unajua wanasemaga msingi kiuno😀Sasa anafanyaje na watoto wazuri😁
Ndio ukomavu huo, uoga umtokeSi atakamuliwa mafuta yote? Atakonda mno😁
Aisee aje na maokoto😁Alikua anapima upepo, si unajua wanasemaga msingi kiuno😀