PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,126
- 849
Jibu Zuri sanaMsongo wa mawazo ni wakati unatafakari hupati majibu.
- kama una tafakari unapata majibu , je kuna haja ya kufanya mazoezi.
Nguvu za kiume - usipo fanya mazoezi haimaanishi ndiyo hutakuwa huna nguvu za kiume
Swala ni kula vizuri na kuepuka masterbation tu.
Ninacho jua kuwa kazi ya mazoezi ni kujenga mwili.
Ata kama una msongo wa mazoezi ukaenda kufanya mazoezi ukimaliza mazoezi msongo wako wa mawazo unakua vilev