Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Msongo wa mawazo ni wakati unatafakari hupati majibu.Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na
1.Msongo wa mawazo na sonona
2.Tatizo la nguvu za kiume
3.Kusosholaizi na watu
4.Ukakamavu
5.Credibility
Mnaishije???????
Knowledge is a teacherMsongo wa mawazo ni wakati unatafakari hupati majibu.
- kama una tafakari unapata majibu , je kuna haja ya kufanya mazoezi.
Nguvu za kiume - usipo fanya mazoezi haimaanishi ndiyo hutakuwa huna nguvu za kiume
Swala ni kula vizuri na kuepuka masterbation tu.
Ninacho jua kuwa kazi ya mazoezi ni kujenga mwili.
Ata kama una msongo wa mazoezi ukaenda kufanya mazoezi ukimaliza mazoezi msongo wako wa mawazo unakua vilevile
Haaaaaaaaaaaah nayo tuyaite mazoezi? Tafsiri ya mazoezi ni kutokwa na jasho. As long as you sweats it will be judged as physical exerciseMm nafanya mazoezi kitandani au
Mbona unaaga fasta!? nilikua nafatilia mtongozo live😂Mmhh hizi ni genye zanisumbua bila shaka. Nilale tu
Nimekuvulia kofia we binti🤣Nitongoze tu mi sinaga shida uliza wenzio😎
We muoga huweziUkikaa vibaya nahamia kwako
Hapo tu mtoto mzuri amekususia yote unaanza kujishtukia mara ufute comment mara uageAlikudanganya nani kua mm naogopa wanawake
Hukumuelewa, alimaanisha kutongozwa, mwanamke anatongozwa kila siku ila haimaanishi anawakubaliaAliharibu kusema wanaume wapo kibao... Mm mchoyo napenda vya pekee angu
Rudi kamuombe msamaha, muendelee mlipoishiaSikuelewa basi daah. Nimejiferisha aisee.... Kwako sitarudia tena hilo kosa
Kwanini humu?Ila flirting capacity zangu zero aisee. I have to level up my game la sivyo nitaishia kuwaona wadada tu humu
Basi limeisha hilooo,Niko vizuri mtaani
Niliwahi kukimbia mtu, alitoka Arusha to Dar, mwengine alitoka Znz to DarVipi ulikimbia mtu au alikukimbia??
Don't bother, mambo ya online nilishavuka hukoDaah ndo nilikua nataka nije pm tuone kama we can make things workout.