Maisha Bila Mazoezi: Mnakabiliana Vipi na Stress?

Jibu Zuri sana
 
Ninacho jua kuwa kazi ya mazoezi ni kujenga mwili.

Ata kama una msongo wa mazoezi ukaenda kufanya mazoezi ukimaliza mazoezi msongo wako wa mawazo unakua vilevile
Hauwezi ukawa vile vile kuna namna mazoezi hushusha pressure ya tatizo na kumfanya muhusika kurudi normal taratibu taratibu kadiri anavyoyafanya.

Wengi mnaosema hizi lugha huwa wavivu wa mazoezi huku mkitegemea pombe kujituliza na stress msijue ndiyo mnaongeza stress kwa sababu pombe inamaliza hela kesho unaamka na stress mbili,1st hela mfukoni huna pili tatizo ulilokuwa nalo halijaisha kwa sababu nalo lilikuwa linataka utatuzi wa kipesa na wewe pesa kidogo uliyokuwa nayo umeenda kuiacha bar so kichwa kitazidi kuwaka moto.
 
Nguvu za kiume ni controversial bado:
1.Kushindwa kurudia tendo
AU
2.Kukomea raundi 1.
AU
3.Kutompa mwanamke mimba
AU
4.Kuwa na uume mlegevu
AU
5. Kuwahi sana kufika kileleni kama kuku....
6. Kupoteza 100% Penile erectile
Kipi ni kipi
 
Fanyeni mazoezi wazee acheni maneno mengi bhana punguzeni uvivu huo naona mtoa uzi katumia lugha nyepesi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…