Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio wapumbavu?(Isaya 32:6 )
Maana mpumbavu atanena yaliyo upumbavu, na moyo wake utafanya maovu, ili kutenda hila na kusema yasiyo kweli juu ya BWANA, ili kuziacha nafsi za watu wenye njaa hazina kitu, na kukikomesha kinywaji chake mwenye kiu.
Eleza kwanza roho ni nini?Mtu kama wewe unatakiwa upelekwe Mtwara ama Tanga ama Kigoma Sasa ukishapata KUJUA kuwa kuna ulimwengu halisi kabisakabisa wa roho, hapohapo unapata KUJUA kuwa MUNGU yupo...
Unahangaika sana kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.What evidence you are looking for. Creation is more than evidence. God is there and He will be there. No body can change Him. We are nothing before Him.
Nithibitishie kwanza pasi na shaka kua una akili.Thibitisha huyo Mungu yupo.
Ukishindwa wewe unayedai Mungu huyo yupo ilhali huwezi kumthibitisha yupo ndio Mpumbavu.
Unadai kitu kipo halafu kuki thibitisha huwezi.
Mungu huyo mwema, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu wala mabaya?Mungu ni mwema siku zote, yeye ni Mungu wa wote na habagui dini wala kabila.
Akili ni nini?Nithibitishie kwanza pasi na shaka kua una akili.
π πAkili ni nini?
Sehemu hizo ulizotaja zipo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.Uthibitisho nimekwambia uende sehemu nilizotaja.
Ulimwengu wa roho uko hapohapo ulipo...
Jibu swali kwanza, Akili ni nini?π π
Nmeelewa na hakuna anaejaliKma hujaelewa basi ..
Najua akili iko na fully doubts , mimi najua saikolojia usingekuwa unapata tabu kiasi hicho π π Kama una imani hayupo ungekuwa kimya, ukafanya yako maana una uhakika.Mungu huyo mwema, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu wala mabaya?
Mungu huyo mwema, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, wasio na uwezo wa kutenda mabaya?
Huyo Mungu anashindwa kuwaokoa maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile,Wewe ndo Mungu anakupenda zaidi na kukuruzuku mema mengi zaidi ndo maana unaona kila kitu kimenyooka, lengo lake uguswe na wema wake, umgeukie, umwamini, akuokoe milele. Hakika siku hiyo inasubiriwa kwa shauku kubwa na kutakua na furaha kuu mbinguni siku ukitubu na kurejea kundini, zaidi ya furaha ya mwanampotevu aliporejea nyumban kwa baba yake.
Roho ni kutoonekana Kwa macho ya nyama lakini ni kitu kinaexist.Eleza kwanza roho ni nini?
Kujibu swali umeshindwa. Unaleta nukuu za mababu wa kizungu zilizotafsiriwa kwa lugha yako mtumwa wao ili uelewe mabwana zako wanakutaka uamini nini, ufanye nini.(Isaya 32:6 )
Maana mpumbavu atanena yaliyo upumbavu, na moyo wake utafanya maovu, ili kutenda hila na kusema yasiyo kweli juu ya BWANA, ili kuziacha nafsi za watu wenye njaa hazina kitu, na kukikomesha kinywaji chake mwenye kiu.
Kama hujui jibu la hilo swali basi hata ukithibitishiwa uwepo wa Mungu ni kazi bure.Jibu swali kwanza, Akili ni nini?
Mimi sishawishi mtu aache kuamini Mungu yupo, ila akianza kudai kwamba imani yake ya huyo Mungu ina ukweli lazima athibitishe hilo.Najua akili iko na fully doubts , mimi najua saikolojia usingekuwa unapata tabu kiasi hicho π π Kama una imani hayupo ungekuwa kimya, ukafanya yako maana una uhakika.
Na wewe kama ulikuwa unajua huyo Mungu yupo, Usingehangaika kuja hapa kumwelezea na kumuongelea.
Ungemuacha huyo Mungu aje hapa yeye mwenyewe kama yupo, ajiongelee na ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo l.
We jamaa hauna msimamo pia sio rahisi kusawishi watu zaidi ya hivyo ,unachofuata pia ni dini baada ya kuona maisha ya wazungu.