Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Mimi binafsi uthibitisho ninao ila ndio haueleziki na hata nikikuelezea maelezo hayatoshelezi.

Yaani najua fika hutanielewa... nilisha kutolewa mfano wa "kipofu wa kuzaliwa utaweza kumtofautishia rangi ya blue na kijani aka kuelewa?)

Ni mpaka apone macho ndio atajua, hii ina-apply na kwako pia mpaka uamini.
 
Kuwepo kwa mjadala huu tu, kuwepo kwa ujinga, kuwepo kwa kutoelewana, kuwepo kwa sintofahamu na mgawanyiko, ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, Mungu huyo, by definition, kwa sifa zake hizo, angeondoa ujinga wote, kutoelewana kote, sintofahamu yote.

Ukiona watu wanabishana kuhusu uwepo wa Mungu huyu, ujue ni kwa sababu hayupo.

Angekuwepo, mjadala wa kubishana kama Mungu yupo au hayupo usingewezekana kuwapo.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ili kujua kwamba unacho kiamini ni kweli kipo lazima utoe uthibitisho ili tuhakikishe.
 
Kwenye ulimwengu ambao umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hakuna mtu atakayekuwa na haja ya kumuelezea mwingine uwepo wa Mungu. Kwa sababu, kila mtu atajua Mungu yupo bila shaka.

Ukishaona mtu mmoja anataka kumuelezea mwingine uwepo wa Mungu huyo tu, halafu anashindwa, ujue ni kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Ni Mungu wa hadithi za uongo za watu, za kuungaunga tu.
 
Kiduniani duniani utaona kuna shida mahali kuhusu uwepo wa Mungu.

Muda na wakati haujafika ukifika itajulikana.

Ukiwa mnyenyekevu unajua hata kabla ya muda huo kufika.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ili kujua kwamba unacho kiamini ni kweli kipo lazima utoe uthibitisho ili tuhakikishe.

Kiduniani duniani utaona kuna shida mahali kuhusu uwepo wa Mungu.

Muda na wakati haujafika ukifika itajulikana.

Ukiwa mnyenyekevu unajua hata kabla ya muda huo kufika.
Sasa wewe kama muda haujafika, unahitimishaje kusema kuna Mungu?

Kwanza ulijuaje huyo Mungu yupo?

Ulimuona wapi huyo Mungu ukajua yupo?

Ilhali upo kwenye dunia hii hii na huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo?
 
Sasa wewe kama muda haujafika, unahitimishaje kusema kuna Mungu?

Ilhali upo kwenye dunia hii hii na huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo?
"Muda haujafika" ni chaka la kufichia uongo.

Hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu, muda haujafika tu kwa dunia kutambua.

Nipeni sadaka.
 
Muda haujafika ni chaka la kufichia uongo.

Hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu, muda haujafika tu kwa dunia kutambua.

Nipeni sadaka.
Na ndio tactic wanayotumia wachungaji kupiga hela za watu.
 
Kwanza kabisa unatakiwa ujue Mungu ni nini siyo unakurupuka tu na kusema hakuna Mungu
 
Sasa wewe kama muda haujafika, unahitimishaje kusema kuna Mungu?

Kwanza ulijuaje huyo Mungu yupo?

Ulimuona wapi huyo Mungu ukajua yupo?

Ilhali upo kwenye dunia hii hii na huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo?

"Muda haujafika" ni chaka la kufichia uongo.

Hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu, muda haujafika tu kwa dunia kutambua.

Nipeni sadaka.
Mungu yupo... Ila wewe tu ndio haujataka athibitike kwako (hiyo ni free will uliojaaliwa).

Swala hapa ni imani tu, sasa wewe umechagua kuto kuamini.

Kama ukiamini utashuhudia mwenyewe wala hakuna wakukuelea ili utoe sadaka.

Watu wengi wanakujaga kufunguka kiimani inakuaga too late... Yaani kipindi anashida serious, sasa kwa namna ambavyo shida imetatulika ndio anagundua kuna nguvu ya ziada metendeka apa si bure. W
 
Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo badala ya kujua Mungu yupo?

Mimi sihitaji kuamini huyo Mungu yupo. Nahitaji kujua huyo Mungu yupoje kwa ushahidi na uthibitisho.
 
Imani hata uongo unaweza kuamini.

Sasa wewe utajuaje ukiamini Mungu yupo, yupo kweli? Utathibitishaje yupo kweli? Utathibitishaje ukiamini, hujaamini uongo tu?
 
Kama ukiamini utashuhudia mwenyewe wala hakuna wakukuelea ili utoe sadaka.

Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo badala ya kujua Mungu yupo?

Mimi sihitaji kuamini huyo Mungu yupo. Nahitaji kujua huyo Mungu yupoje kwa ushahidi na uthibitisho.

Imani hata uongo unaweza kuamini.

Sasa wewe utajuaje ukiamini Mungu yupo, yupo kweli? Utathibitishaje yupo kweli? Utathibitishaje ukiamini, hujaamini uongo tu?
 
Mungu ni nini na unathibitishaje kuwa unachofikiri wewe ni Mungu, ni Mungu kweli?
Mungu ni uweza au nguvu ya uumbaji au kusababisha matokeo na nguvu hiyo imo ndani yako,na imo ndani ya kila kiumbe ila dini yako ndiyo imeidumaza hiyo nguvu madam umetoka huko utaanza kuiona
 
Mungu ni uweza au nguvu ya uumbaji au kusababisha matokeo na nguvu hiyo imo ndani yako,na imo ndani ya kila kiumbe ila dini yako ndiyo imeidumaza hiyo nguvu madam umetoka huko utaanza kuiona
Hiyo nguvu inapimwa kwa kipimo gani?

Unahakikishaje ipo kweli na hizo habari si story za kuungaunga tu?

Hiyo nguvu ina uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Kanisani ni Mtakuja.....!

Duniani hatuishi peke yetu....!
Bahati Yako ni kwamba Mungu hatuhesabii Makosa.....!!!
 
Kanisani ni Mtakuja.....!

Duniani hatuishi peke yetu....!
Bahati Yako ni kwamba Mungu hatuhesabii Makosa.....!!!
Kanisani ni Mtakuja hata Saudi Arabia?

Na kanisani kuwa Mtakuja ni uthibitisho kwamba Mungu yupo?

Mungu hatuhesabii makosa, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha kuwa yupo.
 
Smartkahn

Ukishaona kuna watu hawamuamini Mungu fulani anayedaiwa kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotena upendo wote, huko kutomuamini ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Angekuwepo, kwa sifa zake hizo za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, kila mtu angemjua vizuri kabisa na kumuamini kwa namna ambayo mjadala wa Mungu kuwapo au kutokuwapo usingeweza kufanyika.

Yani ukiona utata katika uelewa juu ya kuwepo kwa huyo Mungu tu,maana yake ni kwamba huyo Mungu hayupo, angekuwepo, kusingekuwa na utata popote, kwa ntu yeyote, muda wowote.

Huelewi kipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…