Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Kuna maneno umeyatumia kama "Ukweli na uhalisia" ni maneno tata ambayo yanahitaji utupe uthibitisho wa kuanzia mbinu ulizozitumia kujua kuwa hakuna muumba kama unavyosemaMadai yangu yapi?
Sio kweli !!Roho ni kutoonekana Kwa macho ya nyama lakini ni kitu kinaexist.
Dunia ipo na inathibitika ipo kwa kuonekana.Kuna maneno kama "Ukweli na uhalisia" ni maneno tata ambayo yanahitaji utupe uthibitisho wa kuanzia mbinu ulizozitumia kujua kuwa hakuna muumba kama unavyosema.
Ukweli na uhalisia nimeupata kwenye dunia hii hii iliyopo na inayo thibitishika ipo.Huo ukweli na uhalisia umeupataje ?
Tuonyeshe na sisi huo ukweli na uhalisiaDunia ipo na inathibitika ipo kwa kuonekana.
Kitu kinathibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.
Sasa huyo muumba mnayemuita Mungu, Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala Haisiki.
Muumba huyo ni mawazo ya kufikirika tu yasiyo katika ukweli na uhalisia, Ndio maana Hathibitishiki yupo kwa namna yoyote ile.
Ukweli na uhalisia nimeupata kwenye dunia hii hii iliyopo na inayo thibitishika ipo.
Dunia ipo unaiona na unaishi ndani yake, Huo ni ukweli na uhalisia.Tuonyeshe na sisi huo ukweli na uhalisia
Ukiishia kusema tu umeupata umefanya hivi mara vile hatukuelewi
Tupe mbinu ulizozitumia kujua kuwa haonekani, hashishiki, hasikiki wala kuhisikaHaonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala Haisiki.
Kwenye ulimwengu huu huu mimi namjua Mungu na namuhisi kwenye uwepo wa maisha yanguUniverse ipo na inaonekana ipo, Huo ni ukweli na uhalisia.
Mjibu kwa hoja wacha maneno mengiAtheist 24:2
Mpumbavu amesema moyoni mwake kuna Mungu maana anaamini vitu vya kufikirika visivyo na uthibitisho wowote ule wala uhalisia.
Huyo Mungu haonekani, hashikiki hasikiki na wala haisiki kwa vile hayupo.Tupe mbinu ulizozitumia kujua kuwa haonekani, hashishiki, hasikiki wala kuhisika
Uki quote vifungu uchwara vya Biblia vya mithali, sijui mathayo sijui zaburi n.kMjibu kwa hoja wacha maneno mengi
Wewe ebu acha porojo zako mara moja,Huyo Mungu haonekani, hashikiki hasikiki na wala haisiki kwa vile hayupo.
Huwezi kujua kitu ambacho hakipo na hakijulikani.
Kitu kisicho kuwepo hakionekani, hakishikiki, hakisikiki na wala hakihisiki.
Na hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitika kipo.
Mpaka pale kitu kitakapo julikana kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika ndipo unatakiwa useme kipo.Wewe ebu acha porojo zako mara moja,
Kwahiyo kitu kama hakijulikani akili yako inaishia kuwa hakiwezi kujulikana hivyo hivyo ?
Kwa sababu hayupo.Tupe mbinu ulizozitumia kubaini kwamba hashikiki, haisiki wala kuonekana
Mungu yupoHongera kwa kujitambua.
Wengine tulivuka daraja hili mapema sana, karibu miaka 30 iliyopita.
Thibitisha yupo.Mungu yupo
Huoni unaforce vimawazo vyako na vimitizamo vyako uchwaraMpaka pale kitu kitakapo julikana kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika ndipo unatakiwa useme kipo.
Hii ndio mbinu gani ?Kwa sababu hayupo.
Hakuna mbinu ya kuelezea kitu ambacho hakipo.Hii ndio mbinu gani ?
Wewe unayedai kipo kithibitishe kipo.Huoni unaforce vimawazo vyako na vimitizamo vyako uchwara
Mpaka itakapojulikana na nani ? Nani unayemsubiri akuhangaikie ili aje akuonyeshe ndio ijulikane kwako kuwa hicho kitu kipo ?
Nimekuthibitishia dunia ipo na ndio unayoishi ndani yake.Uvivu uvivu tu na uzito wako wa kutafuta maarifa, Sasa kwasababu huna uwezo wowote kufanya kitu kijulikane kwako unaanza kuforce vimitazamo vyako uchwara