Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Kuna tofauti ya atheist na mpagani, nimekuacha utafute mwenyewe ila naona umeshindwa.
Hujui lolote unaleta longo longo tu.
Yoda amesema huna dini ukifa utazikwaje?
Nikamuuliza kwani wapagani hawazikwi,?
Ukaanza ni quote na kusema mpagani sio atheist.

Kama kweli uko bright mkuu huoni kama ulikurupuka bila kuelewa? Wapi nilisema mpagani ni atheist?

Nionyesha hiyo kauli naahidi kuondoka jf mazima.
 
Kama hayupo freemason wanatuchota ? 🤔
Freemason ni kikundi cha watu tu wenye nguvu kubwa kiuchumi, kisiasa na kwenye jamii kiujumla.

Hakuna uhusiano wa Freemason na uwepo wa shetani.

Ndio maana mtu kapuku maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Huwezi kutaka kujiunga Freemason ili utajirike halafu ukubaliwe

Freemason ni kikundi cha matajiri tu kinacho unganisha watu ambao tayari wana nguvu za kifedha, nguvu kiuchumi, kisiasa, kibiashara n.k katika jamii.

Hata ukitaka kujiunga nao sharti uwe na nguvu fulani kisiasa au kiuchumi.
 
Hujui lolote unaleta longo longo tu.
Yoda amesema huna dini ukifa utazikwaje?
Nikajimuuliza kwani wapagani hawazikwi,?
Ukaanza ni quote na kusema mpagani sio atheist.

Kama kweli uko bright mkuu huoni kama ulikurupuka bila kuelewa? Wapi nikisema mpagani ni atheist?

Nionyesha hiyo kauli naahidi kuondoka jf mazima.
Kwani wapagani hawana dini? 🤔
 
Freemason ni kikundi cha watu tu wenye nguvu kubwa kiuchumi, kisiasa na kwenye jamii kiujumla.

Hakuna uhusiano wa Freemason na uwepo wa shetani.

Ndio maana mtu kapuku maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Huwezi kutaka kujiunga Freemason ili utajirike halafu ukubaliwe

Freemason ni kikundi cha matajiri tu kinacho unganisha watu ambao tayari wana nguvu za kifedha, nguvu kiuchumi, kisiasa, kibiashara n.k katika jamii.

Hata ukitaka kujiunga nao sharti uwe na nguvu fulani kisiasa au kiuchumi.
Bado na vitu vingi vya kuchunguza aisée nimeathirika na movie pamoja na simulizi kuhusu freemason ila sasa sadaka wanatoa ya nini ? 🤔Bado nahisi muhuni yupo anawa agiza🤔🤔
 
Hujui lolote unaleta longo longo tu.
Yoda amesema huna dini ukifa utazikwaje?
Nikajimuuliza kwani wapagani hawazikwi,?
Ukaanza ni quote na kusema mpagani sio atheist.

Kama kweli uko bright mkuu huoni kama ulikurupuka bila kuelewa? Wapi nilisema mpagani ni atheist?

Nionyesha hiyo kauli naahidi kuondoka jf mazima.
Wakristo huwaita watu wenye dini zao za asili wapagani na sio kwamba hawana dini, hao wapagani huzikwa na dini zao za asili na sio dini ya ukristo.
 
Nahitaj kujua ni furaha gani umeipata baada ya kuwa na maisha ya bila Mungu??, Sema ni sawa kuwa na furaha kwa upande wako coz shetani ameweza kuvifanya vitu vyote ambavyo sio mapenzi ya Mungu kuwa vizuri sana l machoni mwa mwanadamu
Dini imesha pumbaza hivyo vichwa vyenu.

When you something good it's God, When you do something bad it's Satan. You don't take responsibility for what you are doing as long as there are two imaginary scapegoats to blame it all on.
 
Bado na vitu vingi vya kuchunguza aisée nimeathirika na movie pamoja na simulizi kuhusu freemason ila sasa sadaka wanatoa ya nini ? 🤔Bado nahisi muhuni yupo anawa agiza🤔🤔
Hakuna shetani anayegawa pesa.

Hakuna Shetani mwenye kiwanda cha kuchapa fedha kuwapa Binadamu.

Kusema kwamba Freemason kuna fedha za bure bure ukijiunga nao ni Uongo.

Freemason ni kikundi cha watu tu, wenye nguvu kubwa kiuchumi, kifedha na kisiasa.

Na hata Freemason wenyewe wanafanya kazi kupata pesa.

Hakuna shetani aliyekaa mahali kuwagawia fedha za bure bure.
 
Wakristo huwaita watu wenye dini zao za asili wapagani na sio kwamba hawana dini, hao wapagani huzikwa na dini zao za asili na sio dini ya ukristo.
Sasa mbona unaleta hadithi za wakristo?
Mimi nilisema bila kuwakilisha mawazo ya wakristo. Next time soma uelewa ndio ukosoe, napenda tubishana kwa jambo lenye mantiki.
 
Back
Top Bottom