Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Soma vizuri
🤣🤣 Unazunguka mbuyu.
Screenshot_20240805-230656~2.png
nilikosea nini kwenye hiyo kauli?
 
Kwa mara ya kwanza, nimekutana na shetani live.
Hii inaitwa Logical non sequitur.

Unahusisha kitu ambacho hakipo na kilichopo kuunda hitimisho potofu.

Forgotten yupo na anathibitishika yupo hata mnaweza kukutana na kuonana uso kwa uso ukajua yupo.

Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Na hata huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo shetani.

Huyo shetani ni hekaya za kusadikika tu.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa Forgotten yupo?
 
Hii inaitwa Logical non sequitur.

Unahusisha kitu ambacho hakipo na kilichopo kuunda hitimisho potofu.

Forgotten yupo na anathibitishika yupo hata mnaweza kukutana na kuonana uso kwa uso ukajua yupo.

Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Na hata huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo shetani.

Huyo shetani ni hekaya za kusadikika tu.
Kama hayupo freemason wanatuchota ? 🤔
 
Atheists 46:7,

Mtu kichwa maji amepumbazwa wala hayuko tayari kusikia ukweli na kupima ukweli wa imani yake.
Ana amini kichwa kichwa tu kama nyumbu.
Mithali 16:5 )(
Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatakosa adhabu. Siku sio nyingi hutautambua uwepo wake baada ya kushusha hicho kiburi.
 
Back
Top Bottom