ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Imetoka Kwa Mungu,Je ni huyo Mungu wa Wazungu na Waarabu?hiyo hewa unayovuta unafikiri imetoka wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetoka Kwa Mungu,Je ni huyo Mungu wa Wazungu na Waarabu?hiyo hewa unayovuta unafikiri imetoka wapi.
😂 eti muda haujafika... Jamaa anakwepa hoja kijanja sana😂"Muda haujafika" ni chaka la kufichia uongo.
Hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu, muda haujafika tu kwa dunia kutambua.
Nipeni sadaka.
Hizi ni ahadi za kuwadanganya watoto wadogo.😂 eti muda haujafika... Jamaa anakwepa hoja kijanja sana😂
Acha hasiraWewe umekubuhu!
Upumbavu ingekua ni level ya elimu wewe una PhD
Ngoja nkuache na upumbavu wako, Humu tunajadili na watu walipaswa wawe mirembe
Sijakuelewa,Acha hasira
Mwambie mungu wako yuko wapi 🤣🤣🤣
Kama hujui, kaa kwa kutulia kama sisi
Kama ni kutumia akili uliyonayo haushindi hii ligi, kuwa mpole, na siku nyingine pita kule mbali 😂😂😂