THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Ukiamua kupata na kutoboa kwanini usivimbe?
Raia wa nchi nyingine wanatoboa?
Angalia wachezaji wa africa kwenye ligi za ulaya. Hawavimbi?
Huu ushamba wa lazima kurudi home mnautoa wapi?
Una uelewa wowote na kitu kinachoitwa child support?Shida ni kuwa hata Lemutuz mwenye konekshen amekaa marekani miaka 30 lakin leo hii karudi anaishi kwa baba na anamiaka 60+
Kama marekan panalipa endelea kuish mkuu ila ukiona hali ni mbaya usione aibu kurud maana usije ukarud mzee na huna hata familia na wenzako uliowaacha wamepiga hatua zaid
Kuwa na akili acha uboya kubisha bisha mambo husioyajua, unafiri marekani ndo kila mtu anayo, hujuwi kama unaweza kuomba Credit na usipewe,Nina uhakika kwa zaidi ya 90% mleta mada hauishi marekani, ni hadithi zako za kutunga tunga. Nikikusoma between the lines naona wazi kabisa huijui Marekani. Kwa mfano:
1. Unazungumzia suala la Credit card kama kitu cha ajabu wakati ni jambo ambalo karibu kila mtu aliyepo Marekani anamiliki.
Hivi unajua maana ya GED Program, tafuta maana yake alafu urudi. utajua jinsi gani huna akili unapenda kuropoka mambo husiyoyajua.2. Unazungumzia issue za kusomea fani kama Udaktari kuwa ni issue rahisi na kawaida kwa mbongo kuweza kusomea akitaka akiwa Marekani wakati sio jambo rahisi kabisa ukiwa marekani.
Kuna akili wakati mwingine ni sahihi, kwamba amazon, fedex na GE wanaajiri wafanyakazi wasiokuwa rasmi, Hivi mimi naweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, au wewe unaweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, ukiajiriwa ni rasmi. wewe seach kwanza kabla ya kuja hapa. na marekani haina kikoma, hata unaweza kufanya kazi 10 kwa siku moja. seach kwanza ndo uje huku.3. Unasema umeshafanya kazi kwenye zaidi ya makampuni 7 ili kupata exposure tu wakati kiuhalisia huna kazi rasmi na unaishi kama kibarua tu, huku suala la ajira kwa US nalo limekuwa changamoto, na watu wanazisaka na hufanya kazi ili kuweza kuishi tu na sio their choice job.
Nimeshatoa check yangu umeona sasa tena unachobisha nini, nafanya kazi HMI class, iko louisville. kentucky, nimekuambia overtime nalipwa $27 na ni kazi ya permanet. Careers - HMI Glass Angalia website yao hii alafu angalia maswala ya ajiri. wanaajiri vipi. unaweza hata kuwasiliana nao wakakupa utaratibu wao wa kazi na sheria za kazi.4. Unasema mtu unatengeneza zaidi ya dola 5000 kwa mwezi lakini unaishi kwa dola 600 tu halafu hizo zote zinazobakia unazileta kuwekeza nyumbani Tz! Hizo ni hadithi za Abunawasi. Wakati kuna utitiri wa Diaspora hawana chochote Tz na hawana chochote US, wapo wapo tu, na siku wakifa huishia kuchomwa moto huko huko marekani.
Ujuwi kuna watu wanaingia marekani tayari wana GReen card, so unajua mimi nimeingia kwa njia gani Marekani, na nimepata Green ndani ya Miaka miwili tu na hapi tena ilichelewa sana.5. Unazungumzia issue ya Green card kuwa unaimiliki as if ulikwenda marekani na kupewa au kuipata kama njugu, haki yako au uamuzi wako tu kuipata. Wakati kiuhalisia Green card ni mchakato mrefu, na karibu kila mtu anausaka huko Marekani na wachache hubahatika.
Unachanganya mambo Kama ulisema kuwa Credit Card zinapatikana kirahisi issue ni tena kumiliki nyumba maana Credit card ndo zinawapa watu wengi nyumba ni swala tu za kujenga scores.6. Unasema ukiwa US ni rahisi kumiliki nyumba! Huu ni uongo wa 100%. Hivi Diaspora wangapi wanamiliki nyumba marekani?
process za kuipata green card nazifahamu ndo maana nalikasema ni issue ,mtoa mada ata awe ni kweli anakaa us au hakai it doesn't matter
Kwani child support ipo marekan tu haipo Tz? Sema we nae una tabia za Wangar maathai nimeona sana replies zakoUna uelewa wowote na kitu kinachoitwa child support?
Isikie hivyohivyo tu.
Kabla ya kusema kuipata ni ngumu, muulize mtu anaishi kwa niia gani marekani. njia yangu ni ndani ya mwaka mmoja tu, wengine wanaongia marekani tayar wanazo so kwa ilichukua two yrs, baada ya kuapply
Laiti ungejua wabongo wanavojifanya wajuaji kumbe hawajui, wanataka kukuchora tu,huyo jamaa kaandika hivo Ili akuporovoke tu lakini hajui lolote .Kuwa na akili acha uboya kubisha bisha mambo husioyajua, unafiri marekani ndo kila mtu anayo, hujuwi kama unaweza kuomba Credit na usipewe,
Hivi unajua maana ya GED Program, tafuta maana yake alafu urudi. utajua jinsi gani huna akili unapenda kuropoka mambo husiyoyajua.
Kuna akili wakati mwingine ni sahihi, kwamba amazon, fedex na GE wanaajiri wafanyakazi wasiokuwa rasmi, Hivi mimi naweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, au wewe unaweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, ukiajiriwa ni rasmi. wewe seach kwanza kabla ya kuja hapa. na marekani haina kikoma, hata unaweza kufanya kazi 10 kwa siku moja. seach kwanza ndo uje huku.
Nimeshatoa check yangu umeona sasa tena unachobisha nini, nafanya kazi HMI class, iko louisville. kentucky, nimekuambia overtime nalipwa $27 na ni kazi ya permanet. Careers - HMI Glass Angalia website yao hii alafu angalia maswala ya ajiri. wanaajiri vipi. unaweza hata kuwasiliana nao wakakupa utaratibu wao wa kazi na sheria za kazi.
Ujuwi kuna watu wanaingia marekani tayari wana GReen card, so unajua mimi nimeingia kwa njia gani Marekani, na nimepata Green ndani ya Miaka miwili tu na hapi tena ilichelewa sana.
Unachanganya mambo Kama ulisema kuwa Credit Card zinapatikana kirahisi issue ni tena kumiliki nyumba maana Credit card ndo zinawapa watu wengi nyumba ni swala tu za kujenga scores.
Google kwanza alafu uje hapa.
Huwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni
.
6. Unasema ukiwa US ni rahisi kumiliki nyumba! Huu ni uongo wa 100%. Hivi Diaspora wangapi wanamiliki nyumba marekani?
Mbona hapo ni barabarani? au unafanya kazi ya kukaba watu wanaopita hapo?Mkuu huu uzi bila angalau kapicha ka kuprove ulichoandika, itakuwa ni sawa na mtu anaepanga kufanya business huku mfukoni akiwa hana hela. Just tupia hata picha mbili tatu. Mfano mi naishi kaburu na hilo pichani ni eneo ninalofanyia kazi.
View attachment 2205913
View attachment 2205914
View attachment 2205916
View attachment 2205918
unataka kusemajeKabla ya kusema kuipata ni ngumu, muulize mtu anaishi kwa niia gani marekani. njia yangu ni ndani ya mwaka mmoja tu, wengine wanaongia marekani tayar wanazo so kwa ilichukua two yrs, baada ya kuapply
Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Hahaha πππ€£π€£ wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.Mbona hapo ni barabarani? au unafanya kazi ya kukaba watu wanaopita hapo?
Kufanikiwa ni lazima mtu awe tajiri? Tatizo lenu kubwa ni hilo, yaani mna high expectations na diaspora. Mtu anaweza enda ishi Marekani asiwe tajiri lkn akawa na maisha mazuri na yenye standard zinazoeleweka kuliko hapa nyumbani.Kwahiyo unaenda kufanya nini kama hakuna mafanikio?.........unapoteza 20yrs ughaibuni, unarudi kuanza maisha upya hapa bongo that's life failure, na wengi wamefeli maisha kwa kufuata mawazo ya motivational speaker kama mtoa uzi,
anapotosha vijana kwa kuweka mindset yao kuwaza Marikani, US isn't as simple kama alivo andika, hayo yote kasimliwa na watu walio feli maisha ya ughaibuni, maratino wengi kutoka Mexico na latini America ni machokora hawana chochote na hawana nyuma au mbele wanaanza kua drug addicts tena ni majirani na Us ndo uanze kudaganya Msabaa wa bongo aende kupoteza mda na pesa zake, after 20yrs arudi vile vile,na kuonyesha picha za barafu tu.
Kwa wanao ende ughaibuni ni 10% ndo wanafanikisha tena their cases are special 90% wanabakiza stori na picha za barafu huo ndo ukweli, naongea hili out of experience en peacticle examples kwa ndg jamaa marafiki na mimi mwenyewe.
Safi sana Mkuu, tatizo wabongo hawaelewi tofauti kati ya Maisha Bora na Utajiri, wao wanadhani mtu akiishi nje ya nchi lazima awe tajiri kwa vigezo vyao wao kumne hawajui kuwa ishu siyo utajiri bali ni maisha bora yenye ahueni kuliko hapa nyumbani.Hahaha πππ€£π€£ wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.
View attachment 2207185
View attachment 2207186
Picha hizo π nilipiga juzi kati wakati mvua ilipokuwa inakaribia kunyesha.
View attachment 2207187
View attachment 2207188
View attachment 2207190
Geita Gold Mine ipo Geita Mkuu.Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.
Unadhani wanakuja kukuendeleza?
GGM ipo hapo kahama miaka nenda rudi ila mnaoishi pembeni hakuna mlichofanikiwa zaidi ya kuuza bar.
Mchina, muhindi, mzungu, muarabu wanakuja kuchuma wakajenge kwao.
Tatizo wabongo huwa wajuaji sana,hapo atakuja akwambie huyo sio wewe umeweka picha za watu wengine au umezitoa google.Hahaha πππ€£π€£ wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.
View attachment 2207185
View attachment 2207186
Picha hizo π nilipiga juzi kati wakati mvua ilipokuwa inakaribia kunyesha.
View attachment 2207187
View attachment 2207188
View attachment 2207190
Vigezo ulikuwa navyo vya kupata ukaazi wa kudumu huko au ndio sizitaki mbichi hzi?Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..Asante sana kwa elimu hii nakufuatilia kwa makini manake mimi na elimu yangu kubwa tu kwanini nateseka hapa? Nataka nikachume juani nije nilie kivulini.
Tupe story kidogo , ilikuwaje Makonda akala ban ya maishi kuingia State ??,Kuna kitu ukielewi, na ukija kikiekewa hutopata shida.
Hao mashoga huwezi kushindana nak kwa namna yoyote ndio wanaongoza dunia na ndio wanamiliki uchumi wa dunia.
Magenius wengi kama Leonardo Da Vinci ni mashoga. hao ni wa kuishi nao tu, muulize Makonda atakuhadhia vizuri maana angekuwa Marekani saa hizi.
Work permit South Africa ,utaratibu ukoje?Kapige Kazi ya ulinzi South,Dubai au USA utatoboa,uza kiwanja cha familia,miezi mitatu hela imerudi.