Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

Ukiamua kupata na kutoboa kwanini usivimbe?

Raia wa nchi nyingine wanatoboa?

Angalia wachezaji wa africa kwenye ligi za ulaya. Hawavimbi?

Huu ushamba wa lazima kurudi home mnautoa wapi?

Angalia mwisho wao waliovimba Ulaya? Wengi wamewekeza Afrika. Ulaya wanatumia siyo kwamba hakuna wa-afrika walio na mawe, wapo!
 
Shida ni kuwa hata Lemutuz mwenye konekshen amekaa marekani miaka 30 lakin leo hii karudi anaishi kwa baba na anamiaka 60+
Kama marekan panalipa endelea kuish mkuu ila ukiona hali ni mbaya usione aibu kurud maana usije ukarud mzee na huna hata familia na wenzako uliowaacha wamepiga hatua zaid
Una uelewa wowote na kitu kinachoitwa child support?

Isikie hivyohivyo tu.
 
Nina uhakika kwa zaidi ya 90% mleta mada hauishi marekani, ni hadithi zako za kutunga tunga. Nikikusoma between the lines naona wazi kabisa huijui Marekani. Kwa mfano:
1. Unazungumzia suala la Credit card kama kitu cha ajabu wakati ni jambo ambalo karibu kila mtu aliyepo Marekani anamiliki.
Kuwa na akili acha uboya kubisha bisha mambo husioyajua, unafiri marekani ndo kila mtu anayo, hujuwi kama unaweza kuomba Credit na usipewe,
2. Unazungumzia issue za kusomea fani kama Udaktari kuwa ni issue rahisi na kawaida kwa mbongo kuweza kusomea akitaka akiwa Marekani wakati sio jambo rahisi kabisa ukiwa marekani.
Hivi unajua maana ya GED Program, tafuta maana yake alafu urudi. utajua jinsi gani huna akili unapenda kuropoka mambo husiyoyajua.
3. Unasema umeshafanya kazi kwenye zaidi ya makampuni 7 ili kupata exposure tu wakati kiuhalisia huna kazi rasmi na unaishi kama kibarua tu, huku suala la ajira kwa US nalo limekuwa changamoto, na watu wanazisaka na hufanya kazi ili kuweza kuishi tu na sio their choice job.
Kuna akili wakati mwingine ni sahihi, kwamba amazon, fedex na GE wanaajiri wafanyakazi wasiokuwa rasmi, Hivi mimi naweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, au wewe unaweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, ukiajiriwa ni rasmi. wewe seach kwanza kabla ya kuja hapa. na marekani haina kikoma, hata unaweza kufanya kazi 10 kwa siku moja. seach kwanza ndo uje huku.
4. Unasema mtu unatengeneza zaidi ya dola 5000 kwa mwezi lakini unaishi kwa dola 600 tu halafu hizo zote zinazobakia unazileta kuwekeza nyumbani Tz! Hizo ni hadithi za Abunawasi. Wakati kuna utitiri wa Diaspora hawana chochote Tz na hawana chochote US, wapo wapo tu, na siku wakifa huishia kuchomwa moto huko huko marekani.
Nimeshatoa check yangu umeona sasa tena unachobisha nini, nafanya kazi HMI class, iko louisville. kentucky, nimekuambia overtime nalipwa $27 na ni kazi ya permanet. Careers - HMI Glass Angalia website yao hii alafu angalia maswala ya ajiri. wanaajiri vipi. unaweza hata kuwasiliana nao wakakupa utaratibu wao wa kazi na sheria za kazi.
5. Unazungumzia issue ya Green card kuwa unaimiliki as if ulikwenda marekani na kupewa au kuipata kama njugu, haki yako au uamuzi wako tu kuipata. Wakati kiuhalisia Green card ni mchakato mrefu, na karibu kila mtu anausaka huko Marekani na wachache hubahatika.
Ujuwi kuna watu wanaingia marekani tayari wana GReen card, so unajua mimi nimeingia kwa njia gani Marekani, na nimepata Green ndani ya Miaka miwili tu na hapi tena ilichelewa sana.
6. Unasema ukiwa US ni rahisi kumiliki nyumba! Huu ni uongo wa 100%. Hivi Diaspora wangapi wanamiliki nyumba marekani?
Unachanganya mambo Kama ulisema kuwa Credit Card zinapatikana kirahisi issue ni tena kumiliki nyumba maana Credit card ndo zinawapa watu wengi nyumba ni swala tu za kujenga scores.

Google kwanza alafu uje hapa.
 
process za kuipata green card nazifahamu ndo maana nalikasema ni issue ,mtoa mada ata awe ni kweli anakaa us au hakai it doesn't matter

Kabla ya kusema kuipata ni ngumu, muulize mtu anaishi kwa niia gani marekani. njia yangu ni ndani ya mwaka mmoja tu, wengine wanaongia marekani tayar wanazo so kwa ilichukua two yrs, baada ya kuapply
 
Kabla ya kusema kuipata ni ngumu, muulize mtu anaishi kwa niia gani marekani. njia yangu ni ndani ya mwaka mmoja tu, wengine wanaongia marekani tayar wanazo so kwa ilichukua two yrs, baada ya kuapply
Kuwa na akili acha uboya kubisha bisha mambo husioyajua, unafiri marekani ndo kila mtu anayo, hujuwi kama unaweza kuomba Credit na usipewe,

Hivi unajua maana ya GED Program, tafuta maana yake alafu urudi. utajua jinsi gani huna akili unapenda kuropoka mambo husiyoyajua.

Kuna akili wakati mwingine ni sahihi, kwamba amazon, fedex na GE wanaajiri wafanyakazi wasiokuwa rasmi, Hivi mimi naweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, au wewe unaweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, ukiajiriwa ni rasmi. wewe seach kwanza kabla ya kuja hapa. na marekani haina kikoma, hata unaweza kufanya kazi 10 kwa siku moja. seach kwanza ndo uje huku.

Nimeshatoa check yangu umeona sasa tena unachobisha nini, nafanya kazi HMI class, iko louisville. kentucky, nimekuambia overtime nalipwa $27 na ni kazi ya permanet. Careers - HMI Glass Angalia website yao hii alafu angalia maswala ya ajiri. wanaajiri vipi. unaweza hata kuwasiliana nao wakakupa utaratibu wao wa kazi na sheria za kazi.

Ujuwi kuna watu wanaingia marekani tayari wana GReen card, so unajua mimi nimeingia kwa njia gani Marekani, na nimepata Green ndani ya Miaka miwili tu na hapi tena ilichelewa sana.

Unachanganya mambo Kama ulisema kuwa Credit Card zinapatikana kirahisi issue ni tena kumiliki nyumba maana Credit card ndo zinawapa watu wengi nyumba ni swala tu za kujenga scores.

Google kwanza alafu uje hapa.
Laiti ungejua wabongo wanavojifanya wajuaji kumbe hawajui, wanataka kukuchora tu,huyo jamaa kaandika hivo Ili akuporovoke tu lakini hajui lolote .

Usibishane sana Wala kutaka kuprove point Kwa mtu mjinga na pia uwasamehe sababu uwezo na source zetu za kupata information za Marekani zipo limited na zinazopotosha sasa ukitokea mtu akaongea uhalisia kama wewe hapo unaonekana hujui mpaka utumie nguvu nyingi kuwaprove.
 
Huwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni

Hii nimeona mara nyingi,Jamaa kaondoka mimi nipo std 1 enzi za maduka ya ushirika kila kitu foleni.

Karejea mwaka juzi katoboa masikio na jeans zilizopauka na kuchakaa.

Sijui shida ni nini lakini nina mifano mingi tu ambayo inakatisha tamaa.
 
.

6. Unasema ukiwa US ni rahisi kumiliki nyumba! Huu ni uongo wa 100%. Hivi Diaspora wangapi wanamiliki nyumba marekani?

Hili mimi ndo amenishangaza, nachofahamu kumiliki nyumba ni moja ya mambo magumu sana kufanikisha US, na huwa hakuishii kwenye kumiliki tu - kodi zao za nyumba ni kubwa sana kiasi ambacho baadhi yao hushindwa kulipa na hunyang'anywa majengo, wakazi wengi sana na hata wazawa wanaishi kwenye nyumba za kupanga, na hususani kwenye majimbo yaliyoendelea sana mithili ya NY na LA

Yawezekana katika jicho la pili yupo sahihi lakini labda kwenye majimbo duni mfano: HAWAII, PHILLY, COLORADO, ARIZONA, ATLANTA nakadhalika
 
Kabla ya kusema kuipata ni ngumu, muulize mtu anaishi kwa niia gani marekani. njia yangu ni ndani ya mwaka mmoja tu, wengine wanaongia marekani tayar wanazo so kwa ilichukua two yrs, baada ya kuapply
unataka kusemaje
 
Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!

Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.

Akukujibu unitagi [emoji851]
 
Mbona hapo ni barabarani? au unafanya kazi ya kukaba watu wanaopita hapo?
Hahaha 😂😂🤣🤣 wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.

20220418_173300.jpg

20220418_173324.jpg

Picha hizo 👆 nilipiga juzi kati wakati mvua ilipokuwa inakaribia kunyesha.
20220314_173240.jpg

20220221_073458.jpg

20220221_073427.jpg
 
Kwahiyo unaenda kufanya nini kama hakuna mafanikio?.........unapoteza 20yrs ughaibuni, unarudi kuanza maisha upya hapa bongo that's life failure, na wengi wamefeli maisha kwa kufuata mawazo ya motivational speaker kama mtoa uzi,

anapotosha vijana kwa kuweka mindset yao kuwaza Marikani, US isn't as simple kama alivo andika, hayo yote kasimliwa na watu walio feli maisha ya ughaibuni, maratino wengi kutoka Mexico na latini America ni machokora hawana chochote na hawana nyuma au mbele wanaanza kua drug addicts tena ni majirani na Us ndo uanze kudaganya Msabaa wa bongo aende kupoteza mda na pesa zake, after 20yrs arudi vile vile,na kuonyesha picha za barafu tu.

Kwa wanao ende ughaibuni ni 10% ndo wanafanikisha tena their cases are special 90% wanabakiza stori na picha za barafu huo ndo ukweli, naongea hili out of experience en peacticle examples kwa ndg jamaa marafiki na mimi mwenyewe.
Kufanikiwa ni lazima mtu awe tajiri? Tatizo lenu kubwa ni hilo, yaani mna high expectations na diaspora. Mtu anaweza enda ishi Marekani asiwe tajiri lkn akawa na maisha mazuri na yenye standard zinazoeleweka kuliko hapa nyumbani.
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba si kila anaeenda US au Europe lazima apate utajiri au arudi nyumnani ajenge Majumba la hasha, kikubwa ni ahueni ya Maisha ambayo mtoa mada ndio anayoizungumzia hapa. Suala zima la mafanikio ni la mtu na mtu, hata hapa Bongo kuna watu hadi wanakufa wako broke maisha yao yote.
My main point is, kwenda kuishi marekani si lazima upate utajiri ila ahueni ya Maisha ipo kulinganisha na hapa nyumbani. Ukibisha hilo basi huna akili.
 
Hahaha 😂😂🤣🤣 wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.

View attachment 2207185

View attachment 2207186
Picha hizo 👆 nilipiga juzi kati wakati mvua ilipokuwa inakaribia kunyesha.
View attachment 2207187

View attachment 2207188

View attachment 2207190
Safi sana Mkuu, tatizo wabongo hawaelewi tofauti kati ya Maisha Bora na Utajiri, wao wanadhani mtu akiishi nje ya nchi lazima awe tajiri kwa vigezo vyao wao kumne hawajui kuwa ishu siyo utajiri bali ni maisha bora yenye ahueni kuliko hapa nyumbani.
 
Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.

Unadhani wanakuja kukuendeleza?

GGM ipo hapo kahama miaka nenda rudi ila mnaoishi pembeni hakuna mlichofanikiwa zaidi ya kuuza bar.

Mchina, muhindi, mzungu, muarabu wanakuja kuchuma wakajenge kwao.
Geita Gold Mine ipo Geita Mkuu.
 
Hahaha 😂😂🤣🤣 wabongo banah kila sekunde akili yao inaelekea kwenye kukaba. Ndo maana panya road hawaishi. Anyway kwa kukuridhisha ngoja nikurushie picha ya ndani, picha yang na ya mwanangu akiwa maeneo ya shule.

View attachment 2207185

View attachment 2207186
Picha hizo 👆 nilipiga juzi kati wakati mvua ilipokuwa inakaribia kunyesha.
View attachment 2207187

View attachment 2207188

View attachment 2207190
Tatizo wabongo huwa wajuaji sana,hapo atakuja akwambie huyo sio wewe umeweka picha za watu wengine au umezitoa google.

Naamini katika kutoka nje ya nchi,kwa mfano ungekuwa bongo kumsomesha mwanao katika shule zenye ubora kama huo wa huko ingekuwa mtihani,lakini unaweza kukuta wewe unaishi maisha ya kawaida huko lakini kuna zile huduma bora kwa wananchi wote unazipata kwa hapa nyumbani usingefikiria kuzipata....watanzania bado tupo nyuma sana kifikra,ubishi umetutawala sana vichwani.
 
Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!

Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Vigezo ulikuwa navyo vya kupata ukaazi wa kudumu huko au ndio sizitaki mbichi hzi?
 
Asante sana kwa elimu hii nakufuatilia kwa makini manake mimi na elimu yangu kubwa tu kwanini nateseka hapa? Nataka nikachume juani nije nilie kivulini.
Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..

kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.

Kuna kitu ukielewi, na ukija kikiekewa hutopata shida.

Hao mashoga huwezi kushindana nak kwa namna yoyote ndio wanaongoza dunia na ndio wanamiliki uchumi wa dunia.

Magenius wengi kama Leonardo Da Vinci ni mashoga. hao ni wa kuishi nao tu, muulize Makonda atakuhadhia vizuri maana angekuwa Marekani saa hizi.
Tupe story kidogo , ilikuwaje Makonda akala ban ya maishi kuingia State ??,
 
Back
Top Bottom