Kuwa na akili acha uboya kubisha bisha mambo husioyajua, unafiri marekani ndo kila mtu anayo, hujuwi kama unaweza kuomba Credit na usipewe,
Hivi unajua maana ya GED Program, tafuta maana yake alafu urudi. utajua jinsi gani huna akili unapenda kuropoka mambo husiyoyajua.
Kuna akili wakati mwingine ni sahihi, kwamba amazon, fedex na GE wanaajiri wafanyakazi wasiokuwa rasmi, Hivi mimi naweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, au wewe unaweza kufanya kazi ya mkataba na Amazon, ukiajiriwa ni rasmi. wewe seach kwanza kabla ya kuja hapa. na marekani haina kikoma, hata unaweza kufanya kazi 10 kwa siku moja. seach kwanza ndo uje huku.
Nimeshatoa check yangu umeona sasa tena unachobisha nini, nafanya kazi HMI class, iko louisville. kentucky, nimekuambia overtime nalipwa $27 na ni kazi ya permanet.
Careers - HMI Glass Angalia website yao hii alafu angalia maswala ya ajiri. wanaajiri vipi. unaweza hata kuwasiliana nao wakakupa utaratibu wao wa kazi na sheria za kazi.
Ujuwi kuna watu wanaingia marekani tayari wana GReen card, so unajua mimi nimeingia kwa njia gani Marekani, na nimepata Green ndani ya Miaka miwili tu na hapi tena ilichelewa sana.
Unachanganya mambo Kama ulisema kuwa Credit Card zinapatikana kirahisi issue ni tena kumiliki nyumba maana Credit card ndo zinawapa watu wengi nyumba ni swala tu za kujenga scores.
Google kwanza alafu uje hapa.