Maisha halisi nchini Marekani

USA kuna opportunities nyingi kuliko Canada
 

Unaelewa halafu huelewi
Nimekuelewa Lakini
 
Mkuu sijui umewaza nini. Nina jamaa yangu ni mlinzi Uarabuni. Kwa sasa ana ghorofa mbili hapa Dar. Ni jamaa yangu wa karibu sana. Sasa sijui wewe umewaza nini.
Katika maisha ya kutafuta simshauri yeyote achague kazi.
Uarabuni ni South Africa? Una akili timamu wewe?
 
Mbona unan'gan'gania sana picha aisee
Kila mtu na uelewa wake mkuu. Kuna mtu mungine huelewa na kuamini kwa maneno, na mungine huelewa na kuamini kwa maneno na picha. Mfano mtu anaweza kuleta uzi hapa unaosema leo asubuh maeneo ya nyumban kuna shule imeungua. Mtu huyo kama hakuweka angalau picha 1 ya kuonesha jinsi shule ilivyoungua, kuna watu watamuelewa na kumuamini, na kuna watu hawatomuelewa na kumuamini mpaka angalau awe ameweka picha au video inayoonesha hiyo shule ikiungua. Mpaka hapo nafikiri umeelewa.
 
Anayefanya kwenye Corporate world,sio mbeba maboksi, hana ku clock in or out,mostly yuko kwenye salary sio wage!
Jamaa yangu Makampuni kama Citi Bank, JP Morgan Chase, Wells Fargo, Ford, Toyota, kwenye Corporate offices huyo sio mbeba mabox..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…