cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Ila waliobaki Tanzania wanaolewa bikira! Hivi una akili sawa wewe...Kuna dada mmoja ana akili nzuri zaidi yeye ameamua kuzaa na wanaume4 tofauti maisha yanamuendea powaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila waliobaki Tanzania wanaolewa bikira! Hivi una akili sawa wewe...Kuna dada mmoja ana akili nzuri zaidi yeye ameamua kuzaa na wanaume4 tofauti maisha yanamuendea powaa
USA kuna opportunities nyingi kuliko CanadaTunashukuru kwa ushuhuda mkuu. Japo mimi katika kusafir kwangu japo cjakaa kwenye hizo nchi niliona Canada inafursa zaid ya marekan. Kuanzia elimu na kazi kama hiz unazosema. Nimefika hizo nchi mbili ila marekan nilifika hiyo miji mikubwa. Na life lake ni kama Hongkong .singapore nk. Kwa mtu aliyetoka nchi masikin kama zetu ni kweli ni vizur kuish miji midogo.
Sasa huyu si ni prostitute entrepreneur?Kuna dada mmoja ana akili nzuri zaidi yeye ameamua kuzaa na wanaume4 tofauti maisha yanamuendea powaa
Ila waliobaki Tanzania wanaolewa bikira! Hivi una akili sawa wewe...
Mama D naona unakuwa Irrational, Diaspora wote wana umri mmoja! Labda wa rika lako, Marekani ni kama reli ya Kati, kila leo inaingiza watu wa kila aina, type ya first class hadi third. Sample ya Diaspora ni ile ile ya watu walioko Bongo! Nawajua watu wa age yangu hawajafanya lolote,very frustrated, je my sampling inawakilisha Watanzania wote kuwa umri umekwenda na wako frustrated Argue logically Mama.
Hahahaha.. 😂😂🤣 hakika mkuu bora na ww umeliona hilo.Imetosha Mkuu.....
Tumekubali...🤣 🤣
Wabongo usishindane nao watakuongezea mvi kichwani.....
Safi sana Mzee, kazi Popote ili mradi upate kitu.Mbeba Mabox na kigari changu cha kubebea mabox...Sibebi kichwani jamani..
Ungekuwa unajuwa huwezi kumshauri Mtanzania mwenzako akafanye kazi ya security.
Uarabuni ni South Africa? Una akili timamu wewe?Mkuu sijui umewaza nini. Nina jamaa yangu ni mlinzi Uarabuni. Kwa sasa ana ghorofa mbili hapa Dar. Ni jamaa yangu wa karibu sana. Sasa sijui wewe umewaza nini.
Katika maisha ya kutafuta simshauri yeyote achague kazi.
Nimejitambulisha kama Diaspora...class ya mbeba mabox..kama wengi wanavyopenda kutukejeli...Kwani tafsiri ya mbeba box ni wabeba mabox au ni diaspora? Naona kama unachanganya mafile vile.
Naona kitu cha Fortuner kimetulia kwa hapo
Marekani Ina kila class ya Diaspora...namvulia kofia kila aliyekuja tafuta ndoto zake.Nimejitambulisha kama Diaspora...class ya mbeba mabox..kama wengi wanavyopenda kutukejeli...
Nimekuuliza tafsiri ya kupiga box, kwani anayefanyajazi VOA siyo mpiga box?Nimejitambulisha kama Diaspora...class ya mbeba mabox..kama wengi wanavyopenda kutukejeli...
Hapana...mpiga mabox kwa tafsiri nayoijua ni Warehouse work.VOA unavailable Tai BwanaNimekuuliza tafsiri ya kupiga box, kwani anayefanyajazi VOA siyo mpiga box?
Sorry VOA unavaa Tai, Warehouse uko kwenye production/assembly line!Hapana...mpiga mabox kwa tafsiri nayoijua ni Warehouse work.VOA unavailable Tai Bwana
Anayefanya kwenye Corporate world,sio mbeba maboksi, hana ku clock in or out,mostly yuko kwenye salary sio wage!Sorry VOA unavaa Tai, Warehouse uko kwenye production/assembly line!
Mbona unan'gan'gania sana picha aiseeMleta mada katukimbia baada ya kumuomba picha za mahali alipo.
Kila mtu na uelewa wake mkuu. Kuna mtu mungine huelewa na kuamini kwa maneno, na mungine huelewa na kuamini kwa maneno na picha. Mfano mtu anaweza kuleta uzi hapa unaosema leo asubuh maeneo ya nyumban kuna shule imeungua. Mtu huyo kama hakuweka angalau picha 1 ya kuonesha jinsi shule ilivyoungua, kuna watu watamuelewa na kumuamini, na kuna watu hawatomuelewa na kumuamini mpaka angalau awe ameweka picha au video inayoonesha hiyo shule ikiungua. Mpaka hapo nafikiri umeelewa.Mbona unan'gan'gania sana picha aisee
Jamaa yangu Makampuni kama Citi Bank, JP Morgan Chase, Wells Fargo, Ford, Toyota, kwenye Corporate offices huyo sio mbeba mabox..Anayefanya kwenye Corporate world,sio mbeba maboksi, hana ku clock in or out,mostly yuko kwenye salary sio wage!