Maisha halisi nchini Marekani

Asante ila haujatwambia kodi ya serikali ni kiasi gani ili tujue kinachobaki.
 
Ili jina linasadifu akili zako, sasa mtu kama ana mtaji Marekani anakwenda kutafuta nini?

Chizi kabisa.

kweli kilaza kweli.umemuelewa kakwambia kuwa maisha yapo africa ila tatizo mitaji.kama una mtaji wekeza nyumbani!.
ushaanza kulewa kabla mpira ujanzaa
 
Mikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.

Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.

kama hakuna sasa sisi tuliopo na nimezaliwa dar nimekulia dar na nyumba katikati ya mji ukitaka kutembea kwa mguu posta unaenda,ukitaka kwenda sinza,ubungo kila kona kwa mguu na fika alafu uje kusema ushamba na nipo na maisha mazuri na magari ya kutembelea
 
Hapo kwenye credit card ndipo panapowamaliza. Munakopa kupita kiasi halafu kila siku ni kulipa tu, ndiyo maana munashindwa hata kufanya savings zo zote.
 
Mikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.

Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.

nikupe tu habari yako hata mimi nje nimekaa kwa kufikiria kuona nitafanikiwa ila nilikuja kugundua nyumbani ni rahisi kufanikiwa tena sehemu ambapo bado ushindani.kama utaki kuamini nenda uhamiaji pale ukaone wazungu wakiomba uraia hapa .

we jidanganye na dar uje kushtuka sio leo kama una mtaji zaidi ya milioni 30 kwenda mbele.
hata aliyekuwa hapo mtoa uzi unaona kabisa ni bora africa kuliko kwa watu maana una kipi jipya labda kwao kitakuwa kigeni.
 
Kutoka posta hadi Ubungo kwa mguu? Utakuwa umetembea sana. Halafu magari yako yakiwa yamepaki! Ongeza chai huko, tafadhali!
 
Umeeleza kwa kifupi lakini umetaja mambo mengi muhimu...

Ukiwa States, ishu muhimu ni kujitahidi kusoma taaluma ambayo ni rasmi ili uwe semi-pro au pro kabisa, ukifanya kozi za kada ya afya, mafuta+gesi n.k utatusua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…