Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mabilionea wamejanzana mijini, nyie huko chato mbona hatuoni makampuni yakishamiri?Hadi uwe na macho fursa zimejaa tele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabilionea wamejanzana mijini, nyie huko chato mbona hatuoni makampuni yakishamiri?Hadi uwe na macho fursa zimejaa tele
Uchawa unalipa bongoBongo ni connection tu haijarishi una elimu au huna.
Wapumbavu kama Mwijaku ndio wanatobowa, watu wengi hawajuhi kama Stive Nyerere anatembelea Prado new model kali.
Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.nikupe tu habari yako hata mimi nje nimekaa kwa kufikiria kuona nitafanikiwa ila nilikuja kugundua nyumbani ni rahisi kufanikiwa tena sehemu ambapo bado ushindani.kama utaki kuamini nenda uhamiaji pale ukaone wazungu wakiomba uraia hapa .
we jidanganye na dar uje kushtuka sio leo kama una mtaji zaidi ya milioni 30 kwenda mbele.
hata aliyekuwa hapo mtoa uzi unaona kabisa ni bora africa kuliko kwa watu maana una kipi jipya labda kwao kitakuwa kigeni.
Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.
Unadhani wanakuja kukuendeleza?
GGM ipo hapo kahama miaka nenda rudi ila mnaoishi pembeni hakuna mlichofanikiwa zaidi ya kuuza bar.
Mchina, muhindi, mzungu, muarabu wanakuja kuchuma wakajenge kwao.
Kutoka posta hadi Ubungo kwa mguu? Utakuwa umetembea sana. Halafu magari yako yakiwa yamepaki! Ongeza chai huko, tafadhali!
Mmepata faida gani kwa kumzika Mwanza? Angezikwa USA kungekuwa na tatizo? [emoji15][emoji15][emoji15]Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Mtazamo wako sio mtazamo wa familia.Familia ipo MwanzaMmepata faida gani kwa kumzika Mwanza? Angezikwa USA kungekuwa na tatizo? [emoji15][emoji15][emoji15]
Mjini zipo ofisi miradi ipo chatoMabilionea wamejanzana mijini, nyie huko chato mbona hatuoni makampuni yakishamiri?
Soma post #75 afu uendelee kusubiri mleta mada aje akupe mchongo wa kuipata hiyo green card.swala ni kupata hiyo green card
😂😂 Chief hiyo ni Bariadi moja si Wyoming wala Delaware 🤣Haya ndo maneno mkuu, mtu unaandika kitu na kutafuta cha kushindikizia kile ulichoandika. Sio mtu unaleta mada bila hata picha mbili tatu, watu wataamini vipi, na ukizingatia siku hizi watu wanachakazwa kwa vistori vidogo vidogo kama hivi.
Hahaha 🤣😂😂 mkuu ebu izoom hiyo plat number ya gari, afu usome na hiki ulichoandika.😂😂 Chief hiyo ni Bariadi moja si Wyoming wala Delaware 🤣
Wewe unatumia unatumia akili au 0713 kuandika ujinga,mbona Tz watu wakifariki tunachangisha kumsafirisha marehemuHivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Hapo kwenye credit card ndipo panapowamaliza. Munakopa kupita kiasi halafu kila siku ni kulipa tu, ndiyo maana munashindwa hata kufanya savings zo zote.
Mkuu naomba tuchat vizuri PM pleaseHabari JF
leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani.
Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani, lakini fursa zilizopo ndo zinatufanya tuelendelee kunganagia haya maisha, ndomana maisha yangu ya uwekezaji Yapo africa lakini utafutaji ni marekani kwa vile tu sijafikia malengo yangu ya maisha.
Miaka 6 ndani ya nchi ya marekani, ninaishi kwa Green card, nina ruhusiwa sasa kuomba uraia lakini mimi kwangu huwa si kipaumbele, maana nina uwezo wa kutoa na kuingia na kukaa nje ya marekani muda wa miezi sita.
Nimeishi majimbo na kufanya kazi kampuni tofauti tofauti, Mara nyingi nafanya hivyo tu ili kujifunza maisha halisi ya marekani. Mwaka jana nimefanya kampani saba na kuishi majimbo matatu. kufanya kazi marekani huwa nafanya tu kukaa bila kazi. nilichokifanya miaka minne ya marekani niliweka nguvu kuwekeza nyumbani jambo ambalo nilifanikiwa na kunipa huakika wa kuishi hapa bila kuwa na kazi.
Katika Harakati zangu za kucompare africa na marekani sehemu nzuri ya kuishi, niligundua africa kinachotufelisha ni uchumi ila ukiwa na pesa napendekeza kuishi afrca badala ya marekani. Marekani ni sehemu tu ya utafutaji ikiwa africa huna cha kupoteza(maono yangu)
MAZURI YA MAREKANI.
naipenda nchi ya marekani ni nchi ambayo inamuwesha kila mtu bila kujali nchi uliotokea kufanya lolote na ukafanikiwa, tofauti na nchi kama vile urusi, china. marekani ni nchi ya kila mtu kufanya anachoweza yaani nchi ya fursa. ukitaka kuwa doctoe, nurse nk.. hata kama umefeli elimu katika nchi yako marekani kuna njia nyingi za kukuwezesha ukarudi shule na ukatimiza ndoto zako.
Ikiwa ndo mara ya kwanza unaingia marekani, Kitu cha kwanza jifunze sana kingereza, kitu cha pili somea fani yeyote, cha tatu kuchuka Credit card. ukiwa na hayo matatu nchi ya marekani umemaliza mambo mengine yanakuja, na hayo yote inawezekana kufanyika kwa mtu yeyote anaishi marekani kihalali.
kazi na makazi, siwezi kushauri kuishi kwenye miji kama Chicago, New york, washington nk.. mara nyingi miji hii kazi zake ni professional. tena ina gharama kubwa ya rent. badala yake nenda kwenye majimbo kama dakota, kenctuky , mara nyingi ni kazi za viwanda au Entry job alafu rent iko chini.
Watu wengi kutoka nje ya marekani wanafanya ENRTY JOBS kutokana na lugha kuwa ngumu alafu pesa zinawachanganya hawataki kusoma.
Marekani kuna uraisi wa kumiliki nyumba gari na kufanya biashara unayotaka(biashara ya import chakula na kuuza kwenye maduka ya africa inalipa). hata kama huna huwezo huo. unaweza kutumia CREDIT yako na kupata nyumba, gari, au pesa baadae utalipa taratibu. kikubwa deal na Scores zako kuwa HIGH, na Credit ni kitu muhimu sana marekani.
Kazi ni nyingi na unaruhususiwa kufanya kazi masaa yote unayotaka hata kuwa na zaidi zaidi ya kumi, Mfano mimi nina ENTRY JOBS ndo always huwa nafanya kazi za aina hii, Kazi yangu ya Sasa Ni HMI CLASS tunatengenza class, nafanya kazi masaa 8 kila siku nalipwa $21 kwa saa na overtime $27, awali ilikuwa GE Appliance nilikuwa nalipwa $19, Before GE ilikuwa Fedex nilikuwa nalipwa $19.50, kabla ya Fedex ilikuwa Amazon $20.
Now kazi yangu ya sasa nafanya masaa ninayotaka nikisema kwamba nataka nipate $5000 mwezi huu inapatikana na gharama zangu za maisha ya marekani hazifiki hata $600(bills). So hapo nina kitu cha kufanya tayari africa. Imagine miez 12 ya kazi nikiruid africa huwez kusema tunarudi tumechoka.
Fursa nyingine ambayo kwangu huwa naona ni muhumu sana hapa marekani ni technology, Iphone ilipo marekani sio iliopo africa, chrome inavyofanya kazi marekani ni tofauti kabisa na africa, System za simu na Feature baadhi za Social Media ziko tofauti. kuna software kama vile Stripe huwezi kujiunga ikiwa unaishi africa, so mambo kama hayo ni muhimu sana na ni fursa kubwa.
Hat banl system ni tofauti kabisa zinavyotumika africa.
So kuishi marekani kuna fursa ya kuelimika pia, saivi ukimwabia banker maswala ya wallet pay, wireless pay, finger pay haya ni mambo mageni kwake au anasikiaga tu, ila wewe unaelimika kutoka na fursa ya mazingira unayoishi
ITAENDELEA.......
NO PM
Bongo ukinenepa kama pepe kale au John komba unaoneka una maisha mazuriKwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?
Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?
Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
ubongo ni katikati ya mji [emoji23].wasio juwa dar wanaonekana kama wewe embu uliza katikati ya mji ni wapi
Nimezaliwa na kukulia Dar.unavojidanganya. ungekuwa umekaa kwao ndio ungefahamu .na wanaokuja sasa kwa kasi hapa ni wakenya tusiende mbali.we zubaa n dar uje ukute kijiji kwenu kuna wageni
Kuna mkoa wenye viwanda na makampuni makubwa Tz kama Dar? Inafuata Pwani au Moro.Mjini zipo ofisi miradi ipo chato
Ni uvivu tu, ndio maana utakuta mtu anapiga debe apewe mia mbili mia mbili siku nzima wakati kijijini kwao kuna mapori ambayo anaweza tumia nguvu hizohizo kufyeka na kuanzisha mashamba..Mikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.
Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.
Tatizo ukiugua, halafu siamini kuwa katika miaka sita uliyokaa Marekani umeweza kuwekeza huku nyumbani,basi ulikuwa muuza sembe bila shaka,kwa kazi ipi hadi miaka 6 uwekeza home,umesoma muda gani hadi kuwa professional mwenye wage ya uhakikaHabari JF