Maisha halisi nchini Marekani

Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.

Unadhani wanakuja kukuendeleza?

GGM ipo hapo kahama miaka nenda rudi ila mnaoishi pembeni hakuna mlichofanikiwa zaidi ya kuuza bar.

Mchina, muhindi, mzungu, muarabu wanakuja kuchuma wakajenge kwao.
 
Wazungu wanakuja kuchukua rasilimali na kuondoka.

Unadhani wanakuja kukuendeleza?

GGM ipo hapo kahama miaka nenda rudi ila mnaoishi pembeni hakuna mlichofanikiwa zaidi ya kuuza bar.

Mchina, muhindi, mzungu, muarabu wanakuja kuchuma wakajenge kwao.

unavojidanganya. ungekuwa umekaa kwao ndio ungefahamu .na wanaokuja sasa kwa kasi hapa ni wakenya tusiende mbali.we zubaa n dar uje ukute kijiji kwenu kuna wageni
 
Kutoka posta hadi Ubungo kwa mguu? Utakuwa umetembea sana. Halafu magari yako yakiwa yamepaki! Ongeza chai huko, tafadhali!

ubongo ni katikati ya mji [emoji23].wasio juwa dar wanaonekana kama wewe embu uliza katikati ya mji ni wapi
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Mmepata faida gani kwa kumzika Mwanza? Angezikwa USA kungekuwa na tatizo? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Haya ndo maneno mkuu, mtu unaandika kitu na kutafuta cha kushindikizia kile ulichoandika. Sio mtu unaleta mada bila hata picha mbili tatu, watu wataamini vipi, na ukizingatia siku hizi watu wanachakazwa kwa vistori vidogo vidogo kama hivi.
😂😂 Chief hiyo ni Bariadi moja si Wyoming wala Delaware 🤣
 
Wewe unatumia unatumia akili au 0713 kuandika ujinga,mbona Tz watu wakifariki tunachangisha kumsafirisha marehemu
 
Mkuu naomba tuchat vizuri PM please
 
unavojidanganya. ungekuwa umekaa kwao ndio ungefahamu .na wanaokuja sasa kwa kasi hapa ni wakenya tusiende mbali.we zubaa n dar uje ukute kijiji kwenu kuna wageni
Nimezaliwa na kukulia Dar.

Huko kijijini naenda kuzika.

Wakenya wanaenda Njombe kuchukua parachichi wanaenda kuuza dubai. Bado unasema hawaji kuchuma?

Mbao, Mahindi wanapeleka kwao vingine wana export.

Hakuna foreigner anakuja kukuendeleza wewe.

Nyie wa vijijini mnakuwa mawakala wa kuwaibia watanzania wenzenu.
 
Mikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.​

Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.
Ni uvivu tu, ndio maana utakuta mtu anapiga debe apewe mia mbili mia mbili siku nzima wakati kijijini kwao kuna mapori ambayo anaweza tumia nguvu hizohizo kufyeka na kuanzisha mashamba..
 
Tatizo ukiugua, halafu siamini kuwa katika miaka sita uliyokaa Marekani umeweza kuwekeza huku nyumbani,basi ulikuwa muuza sembe bila shaka,kwa kazi ipi hadi miaka 6 uwekeza home,umesoma muda gani hadi kuwa professional mwenye wage ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…