Maisha halisi nchini Marekani

Mkuu,hivi nikitoka Tz na Elimu yangu ya Masters nije hapo Bondeni Kuna kazi naweza kufanya itakayo niwezesha kuishi Bondeni vizuri ?
Unatafuta stress tu, ukitaka kazi ya hiyo elimu yako ni Bongo ndio utapata.

Policy za South Africa hawatowi kazi kwa wagenia ambayo mzawa yupoa anaweza kufanya, unless upate hiyo kazi ukiwa Tanzania uombewe kibali cha kazi ndio uende.

Kipengere hiki wengi hawaambiani ukweli, elimu yako haiwezi kaukubeba kivile inatakiwa uweke vyetia pambeni uangalie fursa utakayoimudu.

Mfano watu kama Mwamvita Makamba hakwenda kuomba kazi South Africa, ameondoka Tanzania akiwa tayari ni muajiliwa, hiyo ndio style yao kwa kazi zenu nyinyi wasomi.
 
Fafanua aina ya kazi unazozifanya maana sisi tuko Afrika.
Hizo class sijui na nini hatukuelewi

Kama ni kibarua cha kubeba maboksi au kusafisha simu au kusambaza vyakula kwa wateja....

Be open ili watu wafaidike na maelekezo yako Pls.
 
Ahsante Mkuu hapo nimekuelewa vizuri,Maisha ya Bondeni Kuna muda nayatamani
 
Ahsante kwa majibu Mkuu, natamani sana kuishi huko ama nchi yoyote Duniani nje na hapa kwetu
 
Ahsante Mkuu hapo nimekuelewa vizuri,Maisha ya Bondeni Kuna muda nayatamani
Unajuwa hizi masters zenu ni kwa nini haziwasaidii? Ni kwa sababu mmesoma lakini hamna Cv siyo kama kazi huwezi kuomba online lakini vigezo vinakutupa nje.

Wasomi wenye kazi nzuri ndio haohao wenye nafasi nzuri zaidi ya kuomba kazi nyingine Cv zinawabeba.

Mashirika ya UN kila siku wanatowa post lakini utashangaa wanakuja Waethiopia Wabongo Cv utata.
 
Hapo umesema ukweli Mkuu, nimeona sana haya ma NGO makubwa wanasema wanataka mtu mwenye experience ya NGO hivo basi kuzipata hizo kazi mpaka kuwa na msingi mzuri
 
Mh! Mkuu we sema tu mambo hayajakukalia sawa yaani umeghairi kwenda USA kwa sababu ya changamoto ya kusafilisha maiti....😃
 
Mh! Mkuu we sema tu mambo hayajakukalia sawa yaani umeghairi kwenda USA kwa sababu ya changamoto ya kusafilisha maiti....😃
Usisahau kuna wale wenye walitoswa viza, viza refusal, huwa mara nyingi hasira zao wanamalizia kwa waliotusuwa.

American dreamers wengi ndoto zao zilizimwa pale US Embassy unakutana na consular anakula kichwa mwingine anarudia hata mara tatu analiwa kichwa.

Kwahiyo ukisoma Comments hapa uwe na jicho la tatu, ni kichaa peke yake ndio anaweza kukwambia eti Marekani na Bongo bora Bongo, haya ni matumizi mabovu ya akili.
 
Inawezekana ukalipwa hiyo hela, lkn inaonyesha wewe ni blue collar worker. Ukiona blue collar employee analipwa pesa kama hiyo ujue it comes with a huge downside as far as health, general well-being and quality of life. Siyo kama unakaa kwenye desk lako siku nzima ukiwa kazini. Wazungu watakuwa wanahakikisha they get every dime’s worth out of your paycheck. Kama ni kweli, utakuwa unapelekeshwa sana kazini kwa mshahara huo. Na kama unabadilisha kazi mara kwa mara, and state to state, basi utakuwa private contractor. Unapewa kazi kwa temporary contracts. Contract ikimalizika unakuwa jobless, unless ume apply kazi sehemu nyingine before end of current contract.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bongo tuko motoni kweli
 
Usidharau kazi ya mtu. Dunia ingekuwaje kama watu wote wangekuwa white collar?
 
Hapa bongo unabeba tofali na zege siku nzima unaondoka na >elfu 15!
 Hio pelekesha ya mtoni inazidi hii ya hapa kwetu?
 
Usidharau kazi ya mtu. Dunia ingekuwaje kama watu wote wangekuwa white collar?
Hana stable employment kama ni private contractor. It’s a high risk undertaking, therefore the relatively high wages. Unaishi hotel-motel while out-of-state and on contract.
 
Hakika ni "Land of equal opportunity"
Hapana jamaa ameeleza vizuri sanaaa kuhusu US, Inahitaji akili ndogo kuelewa. Itabaki kua Land of Opportunity.
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…