Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Nimekupa perspective out of personal experience. Hayo mambo y dharau umeingiza wewe.Usidharau kazi ya mtu. Dunia ingekuwaje kama watu wote wangekuwa white collar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupa perspective out of personal experience. Hayo mambo y dharau umeingiza wewe.Usidharau kazi ya mtu. Dunia ingekuwaje kama watu wote wangekuwa white collar?
Nimekupa perspective out of personal experience. Hayo mambo y dharau umeingiza wewe.
Wewe umewahi fanya blue collar work marekani? Kwa taarifa yako, blue collar workers with stable employment make up the bulk of the middle class in the US. Sasa wewe hata US hujakanyaga unaanza ubishi wa kijinga. Jamaa kasema amefanya kazi States tofauti, sasa hapo maana yake hana permanent employer.Umemwambia yeye ni blue collar, anatumikishwa na kunyonywa na Wazungu. Na ndio perspective yako hiyo. Na mimi nakwambia blue na white collar wote wana umuhimu wao duniani. Dunia bila blue collar isingekuwa dunia. Nani angefanya blue collar jobs kama wote wangekuwa white collar kama mimi? Jifunze ku-appreciate functions za wengine.
Hicho unachoenda kukitafuta marekani mimi tayari ninachoKwahiyo akakwambia Bongo ndio maisha rahisi?
Failure minds, ni hatari sana kukaa kijiwe na mtu kama wewe, hicho kijiww ni kuambukizana umaskini tu na kila jambo kwenu haliwezekani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajaa kwenye nyavu tuMambo ya Parabola haya, kuna mtu anaenda kuliwa kichwa.
Mkuu bora uende Russia fursa kibaoAsante sana kwa elimu hii nakufuatilia kwa makini manake mimi na elimu yangu kubwa tu kwanini nateseka hapa? Nataka nikachume juani nije nilie kivulini.
Nasubiri muendelezoHabari JF
leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani.
Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani, lakini fursa zilizopo ndo zinatufanya tuelendelee kunganagia haya maisha, ndomana maisha yangu ya uwekezaji Yapo africa lakini utafutaji ni marekani kwa vile tu sijafikia malengo yangu ya maisha.
Miaka 6 ndani ya nchi ya marekani, ninaishi kwa Green card, nina ruhusiwa sasa kuomba uraia lakini mimi kwangu huwa si kipaumbele, maana nina uwezo wa kutoa na kuingia na kukaa nje ya marekani muda wa miezi sita.
Nimeishi majimbo na kufanya kazi kampuni tofauti tofauti, Mara nyingi nafanya hivyo tu ili kujifunza maisha halisi ya marekani. Mwaka jana nimefanya kampani saba na kuishi majimbo matatu. kufanya kazi marekani huwa nafanya tu kukaa bila kazi. nilichokifanya miaka minne ya marekani niliweka nguvu kuwekeza nyumbani jambo ambalo nilifanikiwa na kunipa huakika wa kuishi hapa bila kuwa na kazi.
Katika Harakati zangu za kucompare africa na marekani sehemu nzuri ya kuishi, niligundua africa kinachotufelisha ni uchumi ila ukiwa na pesa napendekeza kuishi afrca badala ya marekani. Marekani ni sehemu tu ya utafutaji ikiwa africa huna cha kupoteza(maono yangu)
MAZURI YA MAREKANI.
naipenda nchi ya marekani ni nchi ambayo inamuwesha kila mtu bila kujali nchi uliotokea kufanya lolote na ukafanikiwa, tofauti na nchi kama vile urusi, china. marekani ni nchi ya kila mtu kufanya anachoweza yaani nchi ya fursa. ukitaka kuwa doctoe, nurse nk.. hata kama umefeli elimu katika nchi yako marekani kuna njia nyingi za kukuwezesha ukarudi shule na ukatimiza ndoto zako.
Ikiwa ndo mara ya kwanza unaingia marekani, Kitu cha kwanza jifunze sana kingereza, kitu cha pili somea fani yeyote, cha tatu kuchuka Credit card. ukiwa na hayo matatu nchi ya marekani umemaliza mambo mengine yanakuja, na hayo yote inawezekana kufanyika kwa mtu yeyote anaishi marekani kihalali.
kazi na makazi, siwezi kushauri kuishi kwenye miji kama Chicago, New york, washington nk.. mara nyingi miji hii kazi zake ni professional. tena ina gharama kubwa ya rent. badala yake nenda kwenye majimbo kama dakota, kenctuky , mara nyingi ni kazi za viwanda au Entry job alafu rent iko chini.
Watu wengi kutoka nje ya marekani wanafanya ENRTY JOBS kutokana na lugha kuwa ngumu alafu pesa zinawachanganya hawataki kusoma.
Marekani kuna uraisi wa kumiliki nyumba gari na kufanya biashara unayotaka(biashara ya import chakula na kuuza kwenye maduka ya africa inalipa). hata kama huna huwezo huo. unaweza kutumia CREDIT yako na kupata nyumba, gari, au pesa baadae utalipa taratibu. kikubwa deal na Scores zako kuwa HIGH, na Credit ni kitu muhimu sana marekani.
Kazi ni nyingi na unaruhususiwa kufanya kazi masaa yote unayotaka hata kuwa na zaidi zaidi ya kumi, Mfano mimi nina ENTRY JOBS ndo always huwa nafanya kazi za aina hii, Kazi yangu ya Sasa Ni HMI CLASS tunatengenza class, nafanya kazi masaa 8 kila siku nalipwa $21 kwa saa na overtime $27, awali ilikuwa GE Appliance nilikuwa nalipwa $19, Before GE ilikuwa Fedex nilikuwa nalipwa $19.50, kabla ya Fedex ilikuwa Amazon $20.
Now kazi yangu ya sasa nafanya masaa ninayotaka nikisema kwamba nataka nipate $5000 mwezi huu inapatikana na gharama zangu za maisha ya marekani hazifiki hata $600(bills). So hapo nina kitu cha kufanya tayari africa. Imagine miez 12 ya kazi nikiruid africa huwez kusema tunarudi tumechoka.
Fursa nyingine ambayo kwangu huwa naona ni muhumu sana hapa marekani ni technology, Iphone ilipo marekani sio iliopo africa, chrome inavyofanya kazi marekani ni tofauti kabisa na africa, System za simu na Feature baadhi za Social Media ziko tofauti. kuna software kama vile Stripe huwezi kujiunga ikiwa unaishi africa, so mambo kama hayo ni muhimu sana na ni fursa kubwa.
Hat banl system ni tofauti kabisa zinavyotumika africa.
So kuishi marekani kuna fursa ya kuelimika pia, saivi ukimwabia banker maswala ya wallet pay, wireless pay, finger pay haya ni mambo mageni kwake au anasikiaga tu, ila wewe unaelimika kutoka na fursa ya mazingira unayoishi
ITAENDELEA.......
NO PM
Najua vizuri na hata hizo credit points zinavyopatikana
Sawa ila sema tu huko motoni hao wabongo lazima waingie kwasababu ya utapeli wao na unafiki waliojawa naoNinachoweza kukugurentee ni kwamba Bongo watu wapo smart kichwani lakini maisha yanawachapa, hili haliwezi kukuta Marekani.
Huwezi kuwa Marekani eti unaamka huna mia uende ukamboom mtu.
Ninaamini kwa dhati kabisa huko mbinguni Wabongo hawaendi motoni, moto wameshaupata hapahapa duniani.
Inawezekana ukalipwa hiyo hela, lkn inaonyesha wewe ni blue collar worker. Ukiona blue collar employee analipwa pesa kama hiyo ujue it comes with a huge downside as far as health, general well-being and quality of life. Siyo kama unakaa kwenye desk lako siku nzima ukiwa kazini. Wazungu watakuwa wanahakikisha they get every dime’s worth out of your paycheck. Kama ni kweli, utakuwa unapelekeshwa sana kazini kwa mshahara huo. Na kama unabadilisha kazi mara kwa mara, and state to state, basi utakuwa private contractor. Unapewa kazi kwa temporary contracts. Contract ikimalizika unakuwa jobless, unless ume apply kazi sehemu nyingine before end of current contract.
Mimi nimekaa Marekani mji wa Washington. Ubaya wa Marekani hakuna undugu kila mtu kivyake kiutafutaji. Maisha ya Marekani ni magumu sana kwa kiingereza tunaita hand to mouth. Kwa gharama ya $600 kwa mwezi naona mtu huyo anapata mateso makubwa. Kama alivyosema kuwa anaweka akiba ya $4500 kwa mwezi. Kwa Afrika ukiwa unajishughulisha hicho kiasi ni kidogo kwa mfanyabiashara wa Afrika. Kinachotuharibu hapa Afrika hatuna utaratibu mzuri wa maisha. Familia tegemezi za afrika huwezi linganisha na familia ya America ya mtu mmoja, mkewe na mtoto. Nawashauri hapa kwetu Afrika kuna fursa nyingi sana kuliko America ambapo hata usingizi hupati kwa kudandia kazi za kuhama hama kwa siku.
Una nini wewe? Smartphone?Hicho unachoenda kukitafuta marekani mimi tayari ninacho
Wewe umewahi fanya blue collar work marekani? Kwa taarifa yako, blue collar workers with stable employment make up the bulk of the middle class in the US. Sasa wewe hata US hujakanyaga unaanza ubishi wa kijinga. Jamaa kasema amefanya kazi States tofauti, sasa hapo maana yake hana permanent employer.
Huyo yupo kwenye kundi la viza refusal victims.hujawahi kuishi marekani mkuu.
Wewe umewahi fanya blue collar work marekani? Kwa taarifa yako, blue collar workers with stable employment make up the bulk of the middle class in the US. Sasa wewe hata US hujakanyaga unaanza ubishi wa kijinga. Jamaa kasema amefanya kazi States tofauti, sasa hapo maana yake hana permanent employer.
Nani alikwambia subsistence agriculture inalipa?Ni uvivu tu, ndio maana utakuta mtu anapiga debe apewe mia mbili mia mbili siku nzima wakati kijijini kwao kuna mapori ambayo anaweza tumia nguvu hizohizo kufyeka na kuanzisha mashamba..
Ndio maana nasema wanakuja kuchuma na kuondoka.Usichokijua labda ni kwamba hao mabiliobea wengi pesa wanatafutia hukohuko mikoani unakokudharau..
Mfano mdogo tu, wabunge asilimia kubwa wakipata Ubunge wanahamia Dar. Hata matajiri pia, wengi wanavuna pesa mikoani na kuamia Dar. Ila bado msingi wa shughuli zao wanazifanya hukohuko mikoani..
Mjini connections na fursa zote zipo.Mjini ndio fursa za maisha zilipo.
#MaendeleoHayanaChama