Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Mie nipo port elizaberth.mie najishugulisha na biashara za vinyago katika malls.pia wapo watu wana maduka na bar pamoja ma workshop za magari.huyo mwandishi kaongelea "falls za wabongo na sio "Rise za wabongo Sa
Mkuu embu niambie nikija SA nijipangaje kuanzia usafir mpaka mda nafika hapo,, na niwe na Balance kiasi gani mpaka mambo yatakapo kaa sawa ..kiukweli na nia ya dhati kusepa hapa.
 
Haya bana...

Tuko pamoja mkuu
 
Unaongopea jamii ndy maana una jazba kidogo tuu.sasa matusi ya nini au jamaa kaandika nini kilichokufanya ukasirike hadi utumie maneno magumu.acha kutengeneza hadithi au kuchukua hadith ulizo hadithiwa na mtu.
Yaani mbona hilo libashite ndo zake..full wivuu tuu

Nahisi amepitia malezi mabovu kupita binadamu yeyote hapa chini ya jua
 
Huo ukuda sasa kwani umeulizwa kuhusu game???
Pole mkuu wangu, hile game mlikuwa mlenda kweli kweli. Huku nacheki Welbeck anawapepeta, nikigeuka huku nakutana na mbunye ina ambaa ambaa
 
Mkuu sorry kama ntakukwaza..

Hii story imetrend social media..

Naomba uniambie tu kiufupi huyo demu alifanyaje fanyaje hadi akachomwa moto?
 
Sandile kazingua sana nimeona watu wakimtetea hata kwenye huu msala, lakini nadhani hawamtetei bure wengi wa hao watetezi wake akiwemo huyu friend wangu amebadilisha maisha yao.

Mkuu, hii kitu sijaiacha actually Niko kwenye training kwa mara nyingine tena kilichonifanya nika give up hapo awali nilichukulia simple kuwa ninaweza nikajifunza hata mimi mwenyewe. Lakini baada ya kupata consultation kwa wazoefu ninaona sasa inawezekana hata isichukue mwaka.

Kuna wale madogo wanajiita "undercoverbillionaires" wanatoa trainings kupitia apps zao wenyewe hata kwa mtu ambaye yuko mbali, ila ada yao ni $300. na course nzima inachukua miezi sita kwa majibu wa Maelezo yao.
 
Boss..

Nieleweshe hiki kitu " trading "

Nataka kutoboa asee..
 
Pole mkuu wangu, hile game mlikuwa mlenda kweli kweli. Huku nacheki Welbeck anawapepeta, nikigeuka huku nakutana na mbunye ina ambaa ambaa
Hahahahahahahaha kudadeki zako sana aiseeeee
 
Tatizo unataka kujua ishu za wabongo waishio south halafu unamtafuta msouth ndy akupeleke sehemu za wabongo badala ya kutafuta muhusika mmojawapo.wenye ishu za maana wapo tena wengi wanaishi na familia zao fresh.
 
Hapana usiende kwa 'undercover billionaire'. Yule dogo anaitwa Louis Junior, ni bright sana kichwani hasa maswala ya mobile tech, na hauwezi kuamini yule yupo kwenye program ya 1 to 1 mentorship na Richard Branson.

Dogo si trader kabisa, bali ni investor, anachukua pesa zake anawapa traders makini wantredie yeye huku akipush ishu zake za technology.

Nakumbuka aliingia mgogoro mkubwa sana na trader mmoja anaitwa Andile Saphisihle. Louis alimapa kama $35,000 ili amtredie Andile akamtapeli mazima. Pia sikushauri ujifunze Fx kwa online. 1 to 1 training is the best.

Narudi soon Bongo, moja kati ya kitu ambayo napambana kufanikisha ni kuleta forex Bongo. Kama Magu kashindwa kbs kuhakikishia vjn wetu ajira basi inabidi sisi wadau tunaolipenda taifa tuhakikishe vijana hawa hawawi majambazi, matapeli na mateja. There's always a way out.

 
Yaani mbona hilo libashite ndo zake..full wivuu tuu

Nahisi amepitia malezi mabovu kupita binadamu yeyote hapa chini ya jua
Yaaani ukisoma vizuri post unaona jamaa yupo against na wabongo waishio huku kwasababu kabase upande mmoja tuu kwani huko bongo hawapo hao mateja na wabeba box au vinyozi?inshort ingekuwa hivyi basi wasingekuwa wanamiminika huku badala ya kurudi.kuishi kwa kupigana madongo ndy kikubwa kinatukwamisha.
 
Boss..

Nieleweshe hiki kitu " trading "

Nataka kutoboa asee..
Usiwe na Presha Boss.

Hiyo kitu ndio nahangaika nayo huku SA, nimepata mwanga, niseme mwanga mkubwa hadi sasa kwa vitu vilivyofata. Nimesign tayari deals 2 kubwa na za kibabe.

Nikirudi tu Bongo nakamilisha mawili matatu na BoT na Brela, then from there tunaMove forward "Kudownload pesa". Yani vitoto vidogo huku SA vina ukwasi wa kutisha mno.

Kuna kijamaa kidogo sn, tuseme umri wng - miaka 23-25 anaitwa Shezi. Juzi juzi kanunua mgodi kwa $10 mil tena katoa mpunga cash. Sisi huku bongo tupo tu tunakuna mapvmbv na kukimbizana na mamachinga wasiuze CD za kina Vin Diesel.
 
Maisha yako hapahapa
 
Mambo yamechange sana,90's kwenda UK..US ilikuwa deal..na kuna waliofanikiwa kujisomesha na kupata maisha poa,sasa dunia ni more intergrated,more competitive,sasa kabla hujatoka ni bora kufanya tasmin ya kina,kuna waliopo UK,US na SA na wanaogopa kurudi bongo,why?maisha magumu,huku watu wana expectations kubwa sana toka kwao,so inakuwa ni kama dhihaka kurud bongo,nawajua wengi saana na umri umeenda lkn ndio hivyo tena,kabla ya kutoka,jitathimi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…