aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Wakuu, hapa mtaani kwangu kuna ndugu yetu nyumbani kwake kulikuwa na harusi(mtoto wake alikuwa anaoa). Ndoa imefungwa vizuri kabisa,
watu tumekula ubwabwa mpaka basi, na wanywaji wamekula bia mpaka basi.
Cha kusikitisha leo asubuhi mzee wa watu kaenda Kibaoni kununua pumba za kuku wake, akagongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo.
Watu tunamalizia kuosha vyombo vya harusi, zinakuja taarifa za msiba.
So sad kwakweli.