Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
WordsSasa hata ukila bata na unakufa inasaidia nini ni afadhali useme kama unaweza kusaidi watu saidia tu. Yaani ni bora kutenda mema zaidi maana hatujui kesho yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WordsSasa hata ukila bata na unakufa inasaidia nini ni afadhali useme kama unaweza kusaidi watu saidia tu. Yaani ni bora kutenda mema zaidi maana hatujui kesho yetu.
Had it been clearly posted kabla haujazaliwa na tukawa na option za kuchagua tuzaliwe ama la , ningeamua kutozaliwa.We need to be humble in dust we were created into dust we shall return!
Daah poleni sanaa... Mechi ya Simba na Yanga huwaga zina kafaraa ya damu sijui yani lazima matukio ya vifo yatokeeeShemeji yangu wa kike ni shabiki wa simba lia lia,humwambii kitu kuhusu hiyo timu
Tarehe 13 mwezi huu alikuwepo uwanja wa taifa kushuhudia ngao ya jamiii,mpira umekwisha yanga 2-1
Kwakuwa ni mtu wa majigambo na tambo nyingi,tukawa tunamsubiri kwa hamu arudi home tumshambulie kwa kejeli. ( sisi yanga)
Akawa harudi...tukampigia simu haipatikani,tukajua kwasabu timu yake imefungwa kaamua kuzima simu kwakuwa anakwepa utani wa jadi.
Kumbe bhana pikipiki aliyopanda iligongwa na gari maeneo ya kwa musuguri,walipoteza maisha palepale.
Kupata taarifa hata hatukuamini yani,shemeji yangu amekwenda kiutani namna hiyo,tumeumia sana.
Apumzike kwa amani
Yaani kila kitu kizuri na kitamu hapa duniani ni dhambi. Tumekuja duniani kuteseka tu...Yeah!
Duniani tupo ili tuvunje sheria, duniani tupo ili tufanye dhambi.
Kuna mwanangu wa 9 years huwa ananiambia "la vie n'a pas de sens "Yaani maisha hayana maana,kama tulikuwa ni wa kufa kwa nini sasa tulizaliwa?Si Bora hata tusingekuwepo kabisa likajulikana moja. Huwa ninamjibu maisha yana maana. Tunakufa ili tubalance écosystème. Dunia hii ni ndogo sana watu wasingekufa isingekalika.Maisha yana kupanda na kushuka,kuna kuzeeka. Hivyo kufa ni sehemu ya maisha.haya ndio maisha bana.
yaani ukikaa kwa utulivu ukatafakari maisha ni ufala mwingi uliopakwa rangi.
Daah poleni sanaa... Mechi ya Simba na Yanga huwaga zina kafaraa ya damu sijui yani lazima matukio ya vifo yatokeee
Haya maisha bwana inabidi tu ujipe furaha mwenyewe.Yaani kila kitu kizuri na kitamu hapa duniani ni dhambi. Tumekuja duniani kuteseka tu...
Ha haa aliyeviweka hapa duniani alikuwa ana nia gani sijui, kututega turikiboy Mzee ameacha mabinti wazuri hatari, machotara wa kiarabu.
Mama yao mwenyewe bado yumo anaita.
Inabidi niandike hivyo maana hakuna kingine cha kuzungumzia kilichobaki zaidi ya hicho.
Haya maisha bwana inabidi tu ujipe furaha mwenyewe.
Inshu za kusema pombe ni dhambi, mara kuwa na wanawake ni dhambi, bangi n.k utateseka mno.
Kama ni mtu wa totoz, wewe piga, bangi kula.
Ukifa ufe umeiburudisha nafsi yako.
Maana hata watakatifu pia wanakufa.
Asante sanaDaah poleni sanaa... Mechi ya Simba na Yanga huwaga zina kafaraa ya damu sijui yani lazima matukio ya vifo yatokeee
Na kutandaza miti as if there's no tomorrowYaani haya maisha kama uwezo wa kula bata unao, wewe kula bata tu.
kaka maisha hayana fomula, ukilala ukaamuka salama ukaenda kwenye mizunguko yako wote wana familia mkakutana jioni mkiwa wazima ni jambo la kushukuru Muumba sana.Wakuu, hapa mtaani kwangu kuna ndugu yetu nyumbani kwake kulikuwa na harusi(mtoto wake alikuwa anaoa). Ndoa imefungwa vizuri kabisa,
watu tumekula ubwabwa mpaka basi, na wanywaji wamekula bia mpaka basi.
Cha kusikitisha leo asubuhi mzee wa watu kaenda Kibaoni kununua pumba za kuku wake, akagongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo.
Watu tunamalizia kuosha vyombo vya harusi, zinakuja taarifa za msiba.
So sad kwakweli.
hapo macho lazima yageukie kwa mjane mpya kumpa pole - maisha haya aisee !!Hayo ndio maisha...
Sisi tushahudhulia harusi ya dogo mmoja, ile tunamaliza kutoa zawadi dogo akateleza akaanguka akafariki...tukaanza msiba hapo hapo
Nilikuwa nafuatilia interview ya marehemu Professor. Matthew Luhanga iliyofanyika miezi michache kabla ya umauti kumfika aisee , alikuwa anaonekana amechoka sana(72 by then). Anaulizwa Hali yake akasema "Hali yangu inaendana na umri wangu, hivyo sina malalamishi makubwa.." 😥kwa tone ya kuonyesha he's no more happy, ni vile tu bado pumzi ipo.Mkuu dunia ni maumivu tu ,kama unabisha jaribu kukaa na wazee wa miaka 70 na kuendelea then waulize kuhusu miasha hata kutafuta pesa naona utaacha..... kiufupi Maisha tunaenda tu hatujui kesho yetu tupunguze viburi ,majivuno , tupendane pia tuishe vile tunapenda.