Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

Sayansi hapa inasema ulichagua kuishi, ktk sperm kuna mamilioni ya sijui chromosome/gene hushindana mbio kuingia kwenye yai la mwanamke, so mbio zako zilikuponza, make uliwazidi wale wengine milioni kadhaa.
Chances za sperm kuwa fertilized ni tukio ambalo sikuwa na control nalo kama binadamu,
Halafu sio mimi niliyeamua kwenda kwenye yai.la mama , tukio alilianzisha baba kwa raha zake ,
Why would someone else luxury costs somebody else , yan furaha ya baba ije inisababishe majanga mja wake
 
Mwanao anaongea mantiki na wewe unaongea siasa , ati ecosystem balance! , aliyeeumba huo ulimwengu hakujua kwamba tutazaliana ? Alikuwa na kila kitu at disposal kwa nini aumbe kifo ?, shetani alikuwa na ulazima gani kuumbwa?: Kwan hata angeumba bao moja tu ndo litoe mtoto baada ya hapo yanayofuata ni kwa ajili ya burudani , mbona tungezaliana kwa wastani tu .
Lengo ni kumfanya mtoto asiwe na masononeko.
 
Hapana. Ndugu yangu kwenye hii Dunia jitahid kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Maisha ni mafupi sana Tena yamejaa taabu na shida
Tunatofautiana katika hili.
 
Nimekumbuka mwanangu wa kwanza alivyopata ubatizo nilialika watu kama 7 hivi tuu jumla tulikuwa kama 11.yaan ile wamemaliza kupika uani chakula kinapakuliwa sebuleni kumbe kule uani moto waliojua umeshazima umewaka ukaenda hadi kwenye kuni (nyingi sana nilizozipata baada ya kukata mtu mkubwa sana kabla ya kujenga nyumba)na hizo kuni zilikuwa mbali tuu yaan ilikuwa ni balaa bonge la moto na shughuli akaishia hapo maana mpka kuja kula chakula hamna mtu anahamu tena
 
Had it been clearly posted kabla haujazaliwa na tukawa na option za kuchagua tuzaliwe ama la , ningeamua kutozaliwa.

Huwa napita makaburini na kushangaa kwa masikitiko , hayaonyeshi tofauti ya nani alikuwa hodari au maarufu, kaburi la profesa aliyestruggle na elimu akajifunza kusoma hadi kuaandika thesis , linalingana sawa tu na la marehemu babu yangu ambaye hata kusoma hakujua!

Why woud someone create a wolrd so unfair like this ? Soma unavyojua kusoma pata pesa unavyojua kupata ukifa ndo kila kitu kimeishia hapo. And I, sincerely hate this idea
This is deep and thoughtfully
 
Wakuu, hapa mtaani kwangu kuna ndugu yetu nyumbani kwake kulikuwa na harusi(mtoto wake alikuwa anaoa). Ndoa imefungwa vizuri kabisa,
watu tumekula ubwabwa mpaka basi, na wanywaji wamekula bia mpaka basi.

Cha kusikitisha leo asubuhi mzee wa watu kaenda Kibaoni kununua pumba za kuku wake, akagongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo.

Watu tunamalizia kuosha vyombo vya harusi, zinakuja taarifa za msiba.

So sad kwakweli.
Inauma sana kwa kweli lakini ndio dunia. Furaha kidogo majonzi kibao!
 
Sayansi hapa inasema ulichagua kuishi, ktk sperm kuna mamilioni ya sijui chromosome/gene hushindana mbio kuingia kwenye yai la mwanamke, so mbio zako zilikuponza, make uliwazidi wale wengine milioni kadhaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
1660997087178.jpg
 
Back
Top Bottom