t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Chances za sperm kuwa fertilized ni tukio ambalo sikuwa na control nalo kama binadamu,Sayansi hapa inasema ulichagua kuishi, ktk sperm kuna mamilioni ya sijui chromosome/gene hushindana mbio kuingia kwenye yai la mwanamke, so mbio zako zilikuponza, make uliwazidi wale wengine milioni kadhaa.
Halafu sio mimi niliyeamua kwenda kwenye yai.la mama , tukio alilianzisha baba kwa raha zake ,
Why would someone else luxury costs somebody else , yan furaha ya baba ije inisababishe majanga mja wake