lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Bila pombe! Yote haya ni ubatiliMaisha yafaa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila pombe! Yote haya ni ubatiliMaisha yafaa nini?
Bro naona tunaogelea bahari moja , sipendi kabisa matukio ya sherehe , hata harusi yangu nilifanya kibabe tu hakukupikwa hata mpunga!!! .by default nipo hivyo.Ndo maana sipendi harusi au sherehe yoyote ile ..,mara nyingi haya matukio Huwa Yana mvutano na nguvu za Giza au mikosi
That is life cycle, you get to be born, suffer then die [emoji137][emoji1787][emoji1787]Mi naonaga bora nisingezaliwa , husstle za kutosha , halafu mara vuup dead end!!! unazikwa . All workdone equal to zero.
Mahubiri 7:2 heri kuiendea nyumba ya matanga kuliko kuiendea nyumba ya karamuNdo maana sipendi harusi au sherehe yoyote ile ..,mara nyingi haya matukio Huwa Yana mvutano na nguvu za Giza au mikosi
Nimescreenshot hii comment mkuu.Mkuu dunia ni maumivu tu ,kama unabisha jaribu kukaa na wazee wa miaka 70 na kuendelea then waulize kuhusu miasha hata kutafuta pesa naona utaacha..... kiufupi Maisha tunaenda tu hatujui kesho yetu tupunguze viburi ,majivuno , tupendane pia tuishe vile tunapenda.
Mwaka juzi nilipoteza moja ya rafiki yangu bora kabisa .Ukitafakari Sana unaweza uka gandisha ubongo, one of my friends alikua ananisisitiza ulaji mzuri,niepuke ulaji wa hivyo wa vitu vya mafuta, Chumvi, sukari every month tunapitia kawe Catholic dispensary kucheki BP [emoji24][emoji24][emoji24]but death found him in different way out of food, akagongwa na gari akisubili daladala kituoni miembe Saba kibaha, rest in peace A.S🪔🪔🪔
We need to be humble in dust we were created into dust we shall return!Mwaka juzi nilipoteza moja ya rafiki yangu bora kabisa .
Alikua ni mtu wa principles haswa , hali kuku broiler , hatumii sukari kabisa na chai alikuwa anaweka asali, alikuwa anatembea na vipimo vya Hiv mkobani , akijipima mara kadhaa kwa mwezi etc etc amekuja kuindoka duniani kirahisi sana
Kula bata ni dhambiYaani haya maisha kama uwezo wa kula bata unao, wewe kula bata tu.