Mhubiri 12:8haya ndio maisha bana.
yaani ukikaa kwa utulivu ukatafakari maisha ni ufala mwingi uliopakwa rangi.
Ongeza sauti budaYaani haya maisha kama uwezo wa kula bata unao, wewe kula bata tu.
Sasa hata ukila bata na unakufa inasaidia nini ni afadhali useme kama unaweza kusaidi watu saidia tu. Yaani ni bora kutenda mema zaidi maana hatujui kesho yetu.Yaani haya maisha kama uwezo wa kula bata unao, wewe kula bata tu.
Mi naonaga bora nisingezaliwa , husstle za kutosha , halafu mara vuup dead end!!! unazikwa . All workdone equal to zero.haya ndio maisha bana.
yaani ukikaa kwa utulivu ukatafakari maisha ni ufala mwingi uliopakwa rangi.
Kwa kweli aisee.....haya ndio maisha bana.
yaani ukikaa kwa utulivu ukatafakari maisha ni ufala mwingi uliopakwa rangi.